MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUJENGA UHUSIANO MWEMA NA WENZAKO

MADA YA SABA

 

Chagua Jibu Sahihi

   Lipi kati ya yafuatayo hutambulisha marafiki wema?
    Kuishi eneo moja
   1. Kusoma shule moja
   2. Tabia njema na upendo
   3. Kulala pamoja
   4. Choose Answer


     Inatupasa kufanya nini ili tuweze kujenga maelewano mema na marafiki zetu?
      Kufanya udanganyifu
     1. Kuepuka tabia isiyofaa
     2. Kuanzisha ugomvi
     3. Kutosikiliza wengine
     4. Choose Answer


       Kipi kati ya vitendo vifuatavyo ni muhimu katika kuishi vyema na jamii?
        Kushirikiana katika shida na raha
       1. Kuweka mipaka ya urafiki
       2. Kuweka mikakati ya kazi
       3. Kubagua walemavu
       4. Choose Answer


         Utamsaidiaje mwanafunzi mwenzako mwenye tabia ya kugombana na rafiki zako?
          Kumshitaki kwa mwalimu wa darasa
         1. Kushirikisha wanafunzi kumkanya
         2. Kujitenga naye
         3. Kumshitaki kwa wazazi wake
         4. Choose Answer


           Zifuatazo ni faida za kujenga uhusiano mwema na watu katika jamii isipokuwa:
            Kudumisha umoja na amani
           1. Kutatua matatizo ya familia
           2. Kuzuia maradhi ya kuambukiza
           3. Kushiriki katika kazi za pamoja
           4. Choose Answer


             Ushiriki wa wanafunzi kwenye kuchagua viongozi wao shuleni huimarisha:
               uongozi wa kikatiba shuleni
             1.  kiongozi mkuu wa uongozi wa shule
             2.  ukiritimba shuleni
             3.  usalama shuleni
             4.  uongozi bora shuleni
             5. Choose Answer


               Nini faida ya mgawanyo wa kazi katika familia?
                Hudhoofisha familia
               1. Huchochea utengano
               2. Huleta udikteta
               3. Huleta maendeleo
               4. Huleta mitafaruku
               Choose Answer


                8. Kazi mojawapo ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni .........

                  kupokea na kuhakiki taarifa ya rasilimali na madeni ya viongozi wa umma
                1.  kusuluhisha migogoro baina ya viongozi wa umma
                2.  kufanya utafiti na kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu na utawala bora 
                3. kuchunguza tuhuma zozote dhidi ya Afisa wa serikali anayehusishwa na rushwa
                4.  kuthibitisha uteuzi wa mawaziri.
                Choose Answer


                 9.  Faida ya ushirikiano kati ya shule na jumuiya inayozunguka shule ni pamoja na:

                 1.  ulinzi na usalama wa shule kuimarika
                 2.  ongezeko Ia idadi ya watoto wanaoandikishwa shule
                 3.  nafasi za ajira kwa jamii inayozunguka shule kuongezeka 
                 4.  shughuli za biashara kuzunguka eneo Ia shule kuongezeka
                 5.  walimu wengi kupata nyumba za kupanga jirani na shule
                 Choose Answer


                  10. Mojawapo ya njia ambazo wananchi wanaweza kushiriki katika ulinzi na usalama ni...............

                  1.  kupiga wahalifu 
                  2.  kufanya mazoezi ya viungo
                  3.  kuwaua wahalifu 
                  4.  kuwafichua wahalifu
                  5.  kuwa rafiki na wahalifu
                  Choose Answer


                  Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI   kwa sentensi isiyo sahihi.

                  1. Kutojali matatizo ya wengine huharibu urafiki.........
                  2. View Answer


                  3. Kushiriki katika michezo husaidia kutatua migogoro...............
                  4. View Answer


                  5. Sherehe ni tukio la kijamii linalodumisha upendo..................
                  6. View Answer


                  7. Uhusiano mwema ni kumshauri mwenzako kuwa mhalifu.................
                  8. View Answer


                  9. Kushiriki makongamano ya kidini hupunguza uhusiano na watu wengine.............
                  View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256