MTIHANI WA MWISHO WA MADA:

SURA YA PILI

 

1. Chagua jibu sahihi kwa kuandika herufi ya jibu kwenye nafasi iliyo hapo chini.

 

 1. Ipi kati ya zifuatzao si mfano wa kaulimbiu ya shule?
 1. Elimu ni rasilimali
 2. Ajali haina kinga
 3. Nidhamu na taaluma bora
 4. Elimu ni ufunguo wa maisha
Choose Answer


 1. Lipi miongoni mwa mambo yafuatayo huwavutia waazi au walezi katika shule zetu?
 1. Walimu wasiotosheleza shuleni
 2. Ufaulu mzuri wa wanafunzi
 3. Mashamba yanayomilikiwa na shule
 4. Uhaba wa nyumba za walimu
Choose Answer


 1. Ipi kati ya zifuatazo si faida zitokanazo na mwanafunzi kushiriki katika michezo?
 1. Kuimarisha afya ya mwili na akili
 2. Kumsaidia mwanafunzi kulipa kodi
 3. Kudumisha uhusiano kati ya mwanafunzi na jamii nzima
 4. Kumjengea mwanafunzi hali ya kujiamini na uthubutu
Choose Answer


 1. Mambo yafuatayo si njia inayoweza kutumika kuitangaza Tanzania?
 1. Maonyesho ya biashara
 2. Matangazo katika vyombo vya habari
 3. Mahubiri ya dini
 4. Michezo mbalimbali
Choose Answer


 1. Mambo yafuatayo yanaweza kutajwa katika wimbo wa shule, isipokuwa;
 1. Mazingira ya shule
 2. Maendeleo ya kitaaluma
 3. Maradhi ya wanafunzi
 4. Nidhamu na utii
Choose Answer


 1. Ipi kazi ya hizi sio umuhimu wa wimbo wa shule?
 1. Kutunza mazingira ya shule
 2. Kuchochea chuki
 3. Kuhimiza tabia njema
 4. Kujenga uzalendo
Choose Answer


 1.                     Tanzania sio mwanachama wa jumuiya ipi kati ya hizi?
 1. Umoja wa afrika
 2. Jumuiya ya afrika mashariki
 3. Jumuiya ya umoja wa nchi za kiarabu
 4. Umoja wa mataifa
Choose Answer


 1.                   Ipi sio njia ya Tanzania kujitangaza kiuchumi?
 1. Kuwa na vituo vya kujitangaza
 2. Maonyesho ya biashara
 3. Kushiriki katika michezo kama ya olimpiki
 4. Kutangaza sekta ya Utalii
Choose Answer


 1. Ipi kati ya nyimbo hizi haziimbwi shuleni?
 1. Nyerere nyerere
 2. Tazama ramani
 3. Wimbo wa taifa
 4. Wimbo wa shule
Choose Answer


 1. Ipi sio umuhimu wa kaulimbiu ya shule?
 1. Kutoa hamasa ya masomo
 2. Kutoa hamasa kutunza mazingira
 3. Kuwapa wanafunzi hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa
 4. Kujenga ubinafsi baina ya mwanafunzi
Choose Answer


 

 

2. Andika kweli au si kweli kwa maswali yafuatayo:-

 1. Ikiwa nchi ina sifa mbaya hatupaswi kuipenda.
 2. View Answer


 3. Nembo ya shule hujumuisha kauli mbiu ya shule
 4. View Answer


 5. Tunapaswa kutopoteza muda kwa kushiriki kazi za kujitolea
 6. View Answer


 7. Umoja na upendo ni mojawapo ya tunu za Taifa letu.
 8. View Answer


 9. Mila na tamaduni husaidia kutambulisha jamii fulani
 10. View Answer


 11. Kutumia lugha zetu za asili kunavunja utaifa.
 12. View Answer


 13. Moja wapo kati ya alama za taifa ni twiga
 14. View Answer


 15. Bendera zote hupandishwa nusu mlingoti wakati wa msiba wa Taifa.
 16. View Answer


 17. Mwenge wa Uhuru uliwashwa mara ya kwanza tarehe 9 mwezi wa 12 mwaka 1961
 18. View Answer


 19. Tanzania inapakana na nchi Tisa.
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256