MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUTUNZA MAZINGIRA

MADA YA SITA

Chagua Jibu Lililo sahihi

1.      Chanzo kikuu cha uharibifu wa mazingira barani Afrika ni

 1.  ongezeko la watu 
 2.  silaha za nyuklia
 3.  kilimo cha mazao ya chakula 
 4.  kilimo cha mazao ya biashara 
 5.  kilimo cha matuta kwenye miinuko
Choose Answer


2.Uoto unaoathiri mazingira ya ziwa Victoria ni

 1. nyasi ndefu 
 2. vichaka 
 3. Mikoko
 4. Miiba
 5. Magugu maji
Choose Answer3. Ufugaji wa kisasa wa wanyama huzingatia nini? ..

 1. Utamaduni wa jamii
 2. Ubora wa wanyama na mazao yao. 
 3. Kuwepo kwa ardhi ya kutosha.
 4. Mbuga za asili za kulishia mifugo.
 5. Hali ya hewa.
Choose Answer


4. Janga la kimazingira linalosababishwa na nguvu za asili pekee linaitwa

 1.  Ukame 
 2.  Tetemeko la ardhi
 3.  Mmomonyoko wa udongo 
 4.  Njaa
 5.  Uchafuzi wa mazingira
Choose Answer


5. Uchafuzi wa maji unaweza kuepukwa kwa...............

 1. utupaji hovyo taka za kemikali
 2. utupaji sahihi wa majitaka
 3. matumizi ya mbolea ya chumvichumvi
 4. kuvua samaki kwa kutumia sumu
 5. kuosha magari katika mita
Choose Answer


6. Zifuatazo ni njia bora za kutunza mazingira isipokuwa................

 1. kudhibiti uchafuzi wa hewa
 2. kilimo cha kuhamahama
 3. kudhibiti takataka za viwandani
 4. kupanda miti
 5. kutunza vyanzo vya maji
Choose Answer


7. Ipi ni athari ya ongezeko kubwa la watu?.................

 1. Kupungua kwa uhalifu
 2. Ongezeko la ajira
 3. Kupungua kwa maji
 4. Kupungua kwa biashara ndogondogo
 5. Kutotosheleza kwa huduma za jamii
Choose Answer


8. Mazingira ni:

 1. Viumbe hai na visivyo hai
 2. Viumbe hai, nyumba na maji
 3. Vitu vyote vinavyomzunguka binadamu
 4. Ardhi, Majengo na bahari
 5. Mimea, wanyama wa kufugwa na nyumba
Choose Answer


9. Uchafuzi wa hewa katika maeneo ya makazi unaweza kuthibitiwa kwa: 

 1.  matumizi ya vyoo 
 2.  kuchoma takataka
 3.  kumwaga maji taka mitaani 
 4. kuchemsha maji ya kunywa
 5.  kupunguza matumizi ya mifuko ya plastiki
Choose Answer


10. Ipi kati ya zifuatazo sio miongoni mwa sababu za uchafuzi wa mazingira?

 1. Teknolojia duni
 2. Kuwepo kwa watu wengi
 3. Kutokuwa na Elimu
 4. Kutumia mbolea za asili zaidi katika kilimo
 5. Utaratibu mbaya wa kutupa takataka
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Mazingira ya nchi yetu yameathiriwa sana na ukataji ovyo wa miti.....................
 2. View Answer


 3. Utunzaji wa mazingira katika maeneo tunayoishi ni jambo muhimu na linapaswa kuwa endelevu kwa kundirika tu.................
 4. View Answer


 5. Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira(Tanzania)huhusika kusimamia mazingira katika nchi yetu....................
 6. View Answer


 7. Shughuli za utunzaji wa mazingira katika nchi yetu zinategemea sana wafadhili kutoka nje................
 8. View Answer


 9. Miti husaidia kutunza vyanzo vya maji..................
 10. View Answer


 11. Kugeuza takataka kuwa malighafi kama vile vyuma chakavu na chupa za plastiki ni mkakati mmojawapo wa kutunza mazingira.............
 12. View Answer


 13. Elimu ya utunzaji mazingira inatakiwa kuwa ajenda ya kudumu katika vikao vya jamii, serikali, vyama vya siasa na madhehebu ya dini..................
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256