MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUSIMAMIA HAKI ZA BINADAMU

MADA YA KUMI NA TANO

 

Chagua Jibu Sahihi

1.   Mambo yote ambayo watu wote wanastahili bila ya kujali kabila, utaifa au jinsia ya huitwa:

 1. utawala bora
 2. haki za binadamu
 3. utawala wa sheria
 4. demokrasia
 5. usawa wa kijinsia
Choose Answer


2.    Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora ilianzishwa Tanzania mwaka:

 1.   2005        
 2.  1995 
 3.  1992    
 4. 2001 
 5.  1977
Choose Answer


3.  Haki ya kumiliki mali iko katika kipengele kipi cha haki za binadamu?

 1.  Kijamii na kiuchumi   
 2.  Kisiasa na kiuchumi
 3.  Kikatiba na kisiasa               
 4.  Kijamii na Kisiasa 
 5.  Kijamii na Kiutamaduni
Choose Answer


4. Haki za binadamu zinapaswa kutolewa kwa watu wote bila kujali .

 1. vyama vya siasa. 
 2.  katiba ya nchi.
 3. haki za makundi maalumu.
   
   
 4. umri wa mtu.
 5. rangi, dini, jinsi na kabila.
Choose Answer


5.   Mfumo wa utawala unaotumika Tanzania ni wa:

 1. Kimila.
 2. Kidemokrasia
 3. Kibeberu.
 4. Kimapinduzi 
 5.  Kifashisti.
Choose Answer


6. Kuzingatia sheria, haki za bianadamu, ukweli na uwazi, na uhuru wa vyombo vya habari ni misingi ya

 1. Urasimu
 2. Utawala wa sheria
 3. Ujamaa wa kiafrika
 4. Demokrasia ya Uwakilishi
 5. utawala bora
Choose Answer 7. Ipi kati ya orodha zifuatazo inawakilisha makundi ya kutetea haki za wanawake ?

 1. UWT, TAWLA na TAMWA.
 2. TAMWA, TGNP na TAWALA.
 3. MEWATA, TGNP na TAWLA
 4. UWT, TGNP na TAMWA.
 5. MEWATA, TGNP na UWT.
Choose Answer


8. Moja ya matukio yanayokiuka Haki za Binadamu nchini Tanzania ni.............

 1.  Mauaji ya vikongwe na maalbino 
 2.  Ukataji na upandaji mid
 3.  kuwafungulia mashtaka wahalifu 
 4.  kufukuzwa kazi viongozi wasio waadilifu
 5.  Serikali kusimamia ukusanyaji kodi
Choose Answer


9. Mtanzania anaruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu anapofikia umri wa miaka 

 1. 15 
 2. 25 
 3. 40 
 4. 21 
 5. 18
Choose Answer


10. Mambo ambayo kila mwanadamu anastahili kupata bila kujali kabila, utaifa au jinsia huitwa:

 1. Utawala bora. 
 2. Haki za binadamu.
 3. Utawala wa sheria. 
 4. Demokrasia. 
 5. Usawa wa kijinsia.
Choose Answer


11. Moja ya mambo yafuatayo si kweli kuhusu mambo ambayo mgonjwa wa ukimwi anapaswa kutendewa:

 1. kustaafishwa kazini 
 2. kula pamoja
 3. kucheza naye 
 4. kujadiliana naye kuhusu maendeleo yake
 5. kupewa tiba kwa magonjwa nyemelezi
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Haki za binadamu zipo kwa ajili ya watu wazima tu..............
 2. View Answer


 3. Mojawapo ya kazi za vyombo vya kutetea haki za binadamu ni kudai haki kwa watu wanaoonewa............
 4. View Answer


 5. Tume ya Haki za Binadamu ni chombo cha kiraia kinachopambana na kuzuia rushwa...............
 6. View Answer


 7. Vikundi vya kutetea haki za binadamu vinaongozwa na Bunge..............
 8. View Answer


 9. Mila potofu zinachangia uvunjwaji wa haki za binadamu.............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256