MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

UHUSIANO WA TANZANIA NA MATAIFA MENGINE

MADA YA KUMI NA SITA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mengine ya kiafrika umekua kutokana na nini?
  1. Utandawazi
  2. Utunzaji wa mazingira
  3. Jumuiya zilizopo
  4. Uhusiano wa kimichezo
Choose Answer


    Tanzania imefanya nini katika kujenga jamii inayoheshimu utamaduni wake?
  1. Kuwakinga raia wake na utandawazi
  2. Kufundisha lugha za asili
  3. Kuwa na vyombo vya kuendeleza utamaduni
  4. Kuzuia tamaduni zote za kigeni
Choose Answer


    Utawezaje kuishi vyema na watu wa jamii na asili tofauti ?
  1. Kufahamu mila na desturi zao
  2. Kuheshimu utamaduni wao
  3. Kufahamu lugha zao 
  4. Kuwafundisha utamaduni wetu
Choose Answer


  1. Upi si umuhimu wa kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mengine?
  1. Kupata utaalamu na teknolojia
  2. Kudumisha utamaduni wa Mtanzania
  3. Kukuza migogoro kati ya nchi na nchi
  4. Kupata pesa za kigeni
Choose Answer


  1. Lugha ya Kiswahili imejenga uhusiano na mataifa mengine katika nyanja zifuatazo isipokuwa:
  1. Biashara za ndani na nje ya nchi
  2. Michezo ya kimataifa 
  3. Utalii na utamaduni wa Kitanzania 
  4. Kuharibu ushirikiano
Choose Answer


  1. Umoja wa hiari wa nchi huru zilizowahi kutawaliwa na Uingereza hufahamika kama:
  1.  Jumuiya ya Madola         
  2. Umoja wa Mataifa
  3. Nchi zinazoendelea   
  4. Umoja wa Afrika
  5.  Shirikisho la Mataifa
Choose Answer


  1. Tanzania inapata faida gani kwa kuongeza biashara yake ya kimataifa?
  1.  Kuongeza majengo
  2.  Kupunguza wajasiriamali wa ndani 
  3. Kuongeza deni
  4. Kupunguza mikataba ya kibiashara 
  5. Kuongeza fedha za kigeni
Choose Answer


  1. Utandawazi ni mfumo unao hamasisha:
  1. teknolojia ya habari na mawasiliano katika nchi zinazoendelea
  2. haki sawa kwa kila mmoja duniani
  3. mfumo wa vyama vingi katika nchi zinazoendelea
  4. biashara huria baina ya mataifa
  5. sekta binafsi katika nchi zinazoendelea . 
Choose Answer


  1. Ni mataifa yapi kati ya yafuatayo yalianzisha umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote? 
  1. Ulaya Mashariki.
  2. Nchi zinazoendelea
  3. Ulaya Magharibi. 
  4. Amerika ya Kusini
  5. Amerika ya Kaskazini
Choose Answer


  1. Makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) yapo:
  1.  New York 
  2.  San Francisco
  3.  San Diego         
  4.  Washington 
  5.  Los Angeles
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Nchi zinazoshirikiana na Tanzania zina utamaduni unaofanana.................
  2. View Answer


  3. Utaweza kuishi vyema na watu wa mataifa mengine utakapoiga mitido ya maisha yao............
  4. View Answer


  5. Lugha, vyakula, mavazi na sanaa kwa pamoja vinaunda utamaduni...............
  6. View Answer


  7. Uwajibikaji katika jamii unatokana na kukua kwa utandawazi....................
  8. View Answer


  9. Tanzania ni nchi mojawapo inayosifika kwa ukarimu, amani na upendo............
  10. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256