MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUVUMILIA KATIKA MAISHA

MADA YA KUMI NA MBILI

 

 Chagua Jibu sahihi

 1. Jambo linalo mkabili mtu na linahitaji ufumbuzi linaitwa?
 1. Shida
 2. Tatizo
 3. Changamoto
 4. Suluhu
Choose Answer


 1. Mojawapo ya njia za kukabiliana na changamoto ni
 1. Kuzitangaza
 2. Kunyamaza
 3. Kuvumilia
 4. Kulia
Choose Answer


 1. Njia ya kwanza ya kupata ushauri ni?
 1. Kupayuka
 2. Kuwa na utayari
 3. Kushirikisha
 4. Kuomba msaada
Choose Answer


 1. Nani anaweza kutoa ushauri?
 1. Mzazi tu
 2. Mwalimu pekee
 3. Mtu yeyote anayeamini anaweza kukusaidia
 4. Rafiki yako
Choose Answer


 1. Hatua ya tatu katika kutoa ushauri ni
 1. Kuwa tayari
 2. Kujua chanzo cha tatizo
 3. Kubaini tatizo
 4. Kutumia mbinu kukabili tatizo
Choose Answer


 1. Kipi kati ya hivi humfanya mtu kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha?
 1. Kuomba ushauri
 2. Uvivu
 3. Bidii
 4. Uvumilivu
Choose Answer


 1. Mfano wa changamoto katika maisha ya mwanafunzi ni?
 1. Kufaulu mtihani
 2. Kushinda wenzako
 3. Wenzako kufanya vizuri
 4. Kushindwa mtihani
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Uvumilivu haumfanyi mtu kustahimili changamoto za maisha................
 2. View Answer


 3. Unapopata changamoto ndio mwisho wa kufanikiwa katika maisha..............
 4. View Answer


 5. Mtoto hawezi kumshauri mzazi au mlezi wake kuhusu kubuni njia mbadala za kuongeza kipato cha familia yake...............
 6. View Answer


 7. Unaweza kugeuza changamoto ikawa fursa ya kuboresha kipato chako na maisha yako..............
 8. View Answer


 9. Kushindwa mtihani ni changamoto kwa mwanafunzi................
 10. View Answer


 11. Ushauri hutumiwa na watu kumaliza matatizo yanayowakabili...........
 12. View Answer


 13. Ili kumudu maisha ni vyema kuzikimbia changamoto............
 14. View Answer


 15. Ili kulitatua tatizo unapaswa kulibaini kwanza...............
 16. View Answer


 17. Kuwa na miradi midogomidogo husaidia kukabiliana na changamoto za maisha..............
 18. View Answer


 19. Maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde a kupanda na kushuka............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256