MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUJALI WENGINE

MADA YA TANO

                  Chagua Jibu Sahihi

  1. Kipi ni miongoni mwa vitendo vinavyoonesha mtu anayejihusisha na tabia hatarishi?
  1. Kufanya kazi kwa bidii
  2. Kushiriki katika michezo
  3. Kuzurura usiku
  4. Kula na kuimba
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo ni hasara anayoweza kupata mtu anayejihusisha na tabia hatarishi?
  1. Kupata madhara ya kiafya
  2. Kushirikiana na marafiki
  3. Kupata heshima kwa jamii
  4. Kufanya kazi kwa ufasaha
Choose Answer


  1. Lipi kati ya yafuatayo ni kundi la watu wenye uhitaji wa kuhudumiwa kwa haraka?
  1. Viongozi wa dini, madiwani na wazee
  2. Wagonjwa, watoto, wazee, wajawazito na walemavu
  3. Watoto, vijana, wagonjwa na wazee
  4. Viongozi, watoto na walimu
Choose Answer


  1. Yafuatayo ni mambo muhimu yanayoonesha usawa isipokuwa:
  1. Kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi ya uongozi
  2. Kushirikishwa katika uamuzi
  3. Kupendelewa katika kupata huduma za jamii
  4. Kushiriki katika majadiliano
Choose Answer


  1. Tunawezaje kuwasaidia wenzetu kutohatarisha usalama wao?
  1. Kwa kuwa mfano bora kwa vitendo vyetu
  2. Kwa kuwaacha waendelee na uzembe wao
  3. Kwa kuwasifia kwa ubaya wa tabia zao
  4. Kwa kuwaingiza katika matumizi ya dawa za kulevya
Choose Answer


6.   Mambo yote ambayo watu wote wanastahili bila ya kujali kabila, utaifa au jinsia ya huitwa:

  1. utawala bora
  2. haki za binadamu
  3. utawala wa sheria
  4. demokrasia
  5. usawa wa kijinsia
Choose Answer


7. Nini faida ya mgawanyo wa kazi katika familia?

  1.         Hudhoofisha familia
  2.         Huchochea utengano
  3.         Huleta udikteta
  4.         Huleta maendeleo
  5.         Huleta mitafaruku
Choose Answer


8. Haki za binadamu zinapaswa kutolewa kwa watu wote bila kujali .

  1. vyama vya siasa. 
  2.  katiba ya nchi.
  3. haki za makundi maalumu.
  4. umri wa mtu.
  5. rangi, dini, jinsi na kabila.
Choose Answer


 9.  Faida ya ushirikiano kati ya shule na jumuiya inayozunguka shule ni pamoja na:

  1.  ulinzi na usalama wa shule kuimarika
  2.  ongezeko Ia idadi ya watoto wanaoandikishwa shule
  3.  nafasi za ajira kwa jamii inayozunguka shule kuongezeka 
  4.  shughuli za biashara kuzunguka eneo Ia shule kuongezeka
  5.  walimu wengi kupata nyumba za kupanga jirani na shule
Choose Answer


10. Chombo kinachohusika na kuhakikisha kuwa raia anapata haki yake anayostahili ni:

  1.  Polisi                                                   
  2.  Magereza                     
  3. Mahakama                                         
  4. Jeshi la Wananchi                  
  5.  Bunge
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensiisiyo sahihi.

  1. Kutumia dawa za kulevya ni tabia hatarishi...............
  2. View Answer


  3. Ulevi hauwezi kumsababishia mtu kujihusisha na tabia hatarishi..................
  4. View Answer


  5. Kupata majeraha ni moja ya hasara za kujihusisha na tabia hatarishi...............
  6. View Answer


  7. Kushiriki katika michezo kunasaidia kujiepusha na tabia hatarishi...............
  8. View Answer


  9. Tunapopata matatizo ya kukosa mahitaji muhimu si lazima kupata unasihi................
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256