MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUTII SHERIA NA KANUNI

MADA YA KUMI 

Chagua Jibu Sahihi

1.         Katibu kata anachaguliwa na:

 1.  Wanachama wa chama tawala
 2.   Mkutano mkuu wa kata
 3.  Wananchi wa kata ile
 4.   Mkutano wa kijiji wa mwaka 
 5.  Kamati ya kijiji
Choose Answer


2.         Kauli mbiu ya Tanzania iliyopo kwenye nembo ya taifa ni:

 1.  uhuru na maendeleo
 2.  uhuru na kazi
 3. uhuru na umoja 
 4.  uhuru na amani
 5. umoja na amani
Choose Answer


3.    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa ni:

 1.  Kamanda wa Polisi wa Mkoa
 2.  Katibu Tawala wa mkoa
 3.  Afisa Usalama wa Mkoa
 4.  Afisa Upelelezi wa makosa ya jinai wa Mkoa
 5.  Mkuu wa Mkoa
Choose Answer


4.  Kiongozi mkuu wa shule ni:

 1. mwalimu mkuu msaidizi
 2. mwalimu wa taaluma
 3. kiranja mkuu
 4. mwalimu mkuu
 5. mwalimu wa nidhamu 
Choose Answer


5. Nini faida ya mgawanyo wa kazi katika familia?

 1. Hudhoofisha familia
 2. Huchochea utengano
 3. Huleta udikteta
 4. Huleta maendeleo
 5. Huleta mitafaruku
Choose Answer


6.  Ngaoya taifa inawakilisha:

 1. umoja, uhuru, uwezo na mamlaka ya taifa
 2. uhuru, umoja na rasilimali za taifa
 3. uwezo, uhuru, uoto wa asili na mamlaka ya taifa
 4. uhuru, umoja na mamlaka ya taifa 
 5. uhuru na umoja
Choose Answer


7.  Ulinzi na usalama wa taifa letu ni jukumu la:

 1.  Jeshi Wananchi wa Tanzania 
 2.  kitengo cha Usalama wa Taifa
 3.  Jeshi la Polisi
 4.  mgambo
 5.  kila mwananchi
Choose Answer


8.Mojawapo ya kazi za mgamboni:

 1.  kukamata wahalifu na kuwapeleka kwenye kituo cha polisi
 2.  kuadhibu wanaovunja sheria mijini
 3.  kuzuia ajali za moto
 4. kukusanya kodi ya maendeleo mijini 
 5. kuzuia na kupambana na rushwa
Choose Answer


9. Kazi mojawapo ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni .........

 1.  kupokea na kuhakiki taarifa ya rasilimali na madeni ya viongozi wa umma
 2.  kusuluhisha migogoro baina ya viongozi wa umma
 3.  kufanya utafiti na kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu na utawala bora 
 4. kuchunguza tuhuma zozote dhidi ya Afisa wa serikali anayehusishwa na rushwa
 5.  kuthibitisha uteuzi wa mawaziri.
Choose Answer


10.   Ni chombo gani chenye jukumu la kulinda nchi yetu na mipaka yake? 

 1. Jeshi la Polisi Tanzania. 
 2. Jeshi la Magereza la Tanzania.
 3. Jeshi la Kujenga Taifa. 
 4. Jeshi la Wananchi la Tanzani.
 5. Jeshi la Mgambo.
Choose Answer


11. Lengo kuu la Polisi jamii ni ......... 

 1. kufundisha raia kazi za Polisi.
 2. kujenga mahusiano ya kirafiki baina ya Polisi na raia.
 3. kuwezesha Maafisa wa Polisi kuishi na raia. 
 4. kuwafanya raia kuwa wakakamavu kama polisi.
 5. kuzuia matumizi ya dawa za kulevya katika jamii.
Choose Answer


 

Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

 1. Viongozi kufuata sheria kikamilifu katika kutekeleza majukumu yao huchochea jamii pia kufuata sheria...............
 2. View Answer


 3. Tarehe 5, Februari ya kila mwaka ni siku ya kuadhimisha siku ya sheria nchini Tanzania.............
 4. View Answer


 5. Kulipa kodi ni wajibu wa kila Mtanzania............
 6. View Answer


 7. Miradi ya maendeleo nchini haitegemei tozo ya kodi kutoka katika shughuli mbalimbali za kiuchumi...........
 8. View Answer


 9. Tabia ya kuhoji haiongezi uelewa wa kutenda jambo kwa uhakika...............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256