MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
URAIA NA MAADILI A SITA
KUSIMAMIA MAJUKUMU
MADA YA TISA
Chagua jibu sahihi
1. Matumizi ya ofisi ya umma kwa manufaa binafsi huitwa.................
2. Mojawapo ya njia ambazo wananchi wanaweza kushiriki katika ulinzi na usalama ni...............
3. Familia ya ndugu na jamaa inakaribia kufanana na kundi la jamii inayojulikana kama:
4. Ukoo ni muungano wa:
5. Usalama wa mali ya shule unaweza kuimarishwa kwa:
6. Baba, mama na watoto kwa pamoja huunda:
7. Kitendo cha kuvunja sheria hujulikana kama:
8. Uhuru, haki na udugu ni misingi ya nini?
9. Kati ya mambo yafuatayo lipi siyo haki ya raia wa Tanzania?
10. Majukumu makuu ya kiongozi wa familia ni yapi?
Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.