MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
URAIA NA MAADILI A SITA
KUTUNZA MAZINGIRA
MADA YA SITA
Chagua Jibu Lililo sahihi
1. Chanzo kikuu cha uharibifu wa mazingira barani Afrika ni
2.Uoto unaoathiri mazingira ya ziwa Victoria ni
3. Ufugaji wa kisasa wa wanyama huzingatia nini? ..
4. Janga la kimazingira linalosababishwa na nguvu za asili pekee linaitwa
5. Uchafuzi wa maji unaweza kuepukwa kwa...............
6. Zifuatazo ni njia bora za kutunza mazingira isipokuwa................
7. Ipi ni athari ya ongezeko kubwa la watu?.................
8. Mazingira ni:
9. Uchafuzi wa hewa katika maeneo ya makazi unaweza kuthibitiwa kwa:
10. Ipi kati ya zifuatazo sio miongoni mwa sababu za uchafuzi wa mazingira?
Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.