URAIA STD VI TOPICAL QUESTIONS
CHAPTER : 5 KUJALI WATU WENGINE
MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
URAIA NA MAADILI A SITA
KUJALI WENGINE
MADA YA TANO
Chagua Jibu Sahihi
- Kipi ni miongoni mwa vitendo vinavyoonesha mtu anayejihusisha na tabia hatarishi?
- Kufanya kazi kwa bidii
- Kushiriki katika michezo
- Kuzurura usiku
- Kula na kuimba
Choose Answer
- Ipi kati ya zifuatazo ni hasara anayoweza kupata mtu anayejihusisha na tabia hatarishi?
- Kupata madhara ya kiafya
- Kushirikiana na marafiki
- Kupata heshima kwa jamii
- Kufanya kazi kwa ufasaha
Choose Answer
- Lipi kati ya yafuatayo ni kundi la watu wenye uhitaji wa kuhudumiwa kwa haraka?
- Viongozi wa dini, madiwani na wazee
- Wagonjwa, watoto, wazee, wajawazito na walemavu
- Watoto, vijana, wagonjwa na wazee
- Viongozi, watoto na walimu
Choose Answer
- Yafuatayo ni mambo muhimu yanayoonesha usawa isipokuwa:
- Kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi ya uongozi
- Kushirikishwa katika uamuzi
- Kupendelewa katika kupata huduma za jamii
- Kushiriki katika majadiliano
Choose Answer
- Tunawezaje kuwasaidia wenzetu kutohatarisha usalama wao?
- Kwa kuwa mfano bora kwa vitendo vyetu
- Kwa kuwaacha waendelee na uzembe wao
- Kwa kuwasifia kwa ubaya wa tabia zao
- Kwa kuwaingiza katika matumizi ya dawa za kulevya
Choose Answer
6. Mambo yote ambayo watu wote wanastahili bila ya kujali kabila, utaifa au jinsia ya huitwa:
- utawala bora
- haki za binadamu
- utawala wa sheria
- demokrasia
- usawa wa kijinsia
Choose Answer
7. Nini faida ya mgawanyo wa kazi katika familia?
- Hudhoofisha familia
- Huchochea utengano
- Huleta udikteta
- Huleta maendeleo
- Huleta mitafaruku
Choose Answer
8. Haki za binadamu zinapaswa kutolewa kwa watu wote bila kujali .
- vyama vya siasa.
- katiba ya nchi.
- haki za makundi maalumu.
- umri wa mtu.
- rangi, dini, jinsi na kabila.
Choose Answer
9. Faida ya ushirikiano kati ya shule na jumuiya inayozunguka shule ni pamoja na:
- ulinzi na usalama wa shule kuimarika
- ongezeko Ia idadi ya watoto wanaoandikishwa shule
- nafasi za ajira kwa jamii inayozunguka shule kuongezeka
- shughuli za biashara kuzunguka eneo Ia shule kuongezeka
- walimu wengi kupata nyumba za kupanga jirani na shule
Choose Answer
10. Chombo kinachohusika na kuhakikisha kuwa raia anapata haki yake anayostahili ni:
- Polisi
- Magereza
- Mahakama
- Jeshi la Wananchi
- Bunge
Choose Answer
Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensiisiyo sahihi.
- Kutumia dawa za kulevya ni tabia hatarishi...............
View Answer
- Ulevi hauwezi kumsababishia mtu kujihusisha na tabia hatarishi..................
View Answer
- Kupata majeraha ni moja ya hasara za kujihusisha na tabia hatarishi...............
View Answer
- Kushiriki katika michezo kunasaidia kujiepusha na tabia hatarishi...............
View Answer
- Tunapopata matatizo ya kukosa mahitaji muhimu si lazima kupata unasihi................
View Answer