MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
URAIA NA MAADILI A SITA
KUSIMAMIA HAKI ZA BINADAMU
MADA YA KUMI NA TANO
Chagua Jibu Sahihi
1. Mambo yote ambayo watu wote wanastahili bila ya kujali kabila, utaifa au jinsia ya huitwa:
- utawala bora
- haki za binadamu
- utawala wa sheria
- demokrasia
- usawa wa kijinsia
Choose Answer
2. Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora ilianzishwa Tanzania mwaka:
- 2005
- 1995
- 1992
- 2001
- 1977
Choose Answer
3. Haki ya kumiliki mali iko katika kipengele kipi cha haki za binadamu?
- Kijamii na kiuchumi
- Kisiasa na kiuchumi
- Kikatiba na kisiasa
- Kijamii na Kisiasa
- Kijamii na Kiutamaduni
Choose Answer
4. Haki za binadamu zinapaswa kutolewa kwa watu wote bila kujali .
- vyama vya siasa.
- katiba ya nchi.
- haki za makundi maalumu.
- umri wa mtu.
- rangi, dini, jinsi na kabila.
Choose Answer
5. Mfumo wa utawala unaotumika Tanzania ni wa:
- Kimila.
- Kidemokrasia
- Kibeberu.
- Kimapinduzi
- Kifashisti.
Choose Answer
6. Kuzingatia sheria, haki za bianadamu, ukweli na uwazi, na uhuru wa vyombo vya habari ni misingi ya
- Urasimu
- Utawala wa sheria
- Ujamaa wa kiafrika
- Demokrasia ya Uwakilishi
- utawala bora
Choose Answer
7. Ipi kati ya orodha zifuatazo inawakilisha makundi ya kutetea haki za wanawake ?
- UWT, TAWLA na TAMWA.
- TAMWA, TGNP na TAWALA.
- MEWATA, TGNP na TAWLA
- UWT, TGNP na TAMWA.
- MEWATA, TGNP na UWT.
Choose Answer
8. Moja ya matukio yanayokiuka Haki za Binadamu nchini Tanzania ni.............
- Mauaji ya vikongwe na maalbino
- Ukataji na upandaji mid
- kuwafungulia mashtaka wahalifu
- kufukuzwa kazi viongozi wasio waadilifu
- Serikali kusimamia ukusanyaji kodi
Choose Answer
9. Mtanzania anaruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu anapofikia umri wa miaka
- 15
- 25
- 40
- 21
- 18
Choose Answer
10. Mambo ambayo kila mwanadamu anastahili kupata bila kujali kabila, utaifa au jinsia huitwa:
- Utawala bora.
- Haki za binadamu.
- Utawala wa sheria.
- Demokrasia.
- Usawa wa kijinsia.
Choose Answer
11. Moja ya mambo yafuatayo si kweli kuhusu mambo ambayo mgonjwa wa ukimwi anapaswa kutendewa:
- kustaafishwa kazini
- kula pamoja
- kucheza naye
- kujadiliana naye kuhusu maendeleo yake
- kupewa tiba kwa magonjwa nyemelezi
Choose Answer
Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.
- Haki za binadamu zipo kwa ajili ya watu wazima tu..............
View Answer
- Mojawapo ya kazi za vyombo vya kutetea haki za binadamu ni kudai haki kwa watu wanaoonewa............
View Answer
- Tume ya Haki za Binadamu ni chombo cha kiraia kinachopambana na kuzuia rushwa...............
View Answer
- Vikundi vya kutetea haki za binadamu vinaongozwa na Bunge..............
View Answer
- Mila potofu zinachangia uvunjwaji wa haki za binadamu.............
View Answer