MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
URAIA NA MAADILI A SITA
KUAMINIKA KATIKA JAMII
MADA YA KUMI NA NNE
Zoezi
6. Majukumu ya kiongozi wa wanafunzi katika shule ni pamoja na:
7. Chombo cha juu katika maamuzi kwenye serikali ya kijiji ni ..................
8. Matumizi ya ofisi ya umma kwa manufaa binafsi huitwa.................
9. Mojawapo ya njia ambazo wananchi wanaweza kushiriki katika ulinzi na usalama ni...............
10. Kuna aina mbili za uongozi katika Serikali za Mitaa ambao ni uongozi wa:
Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.