MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

NIDHAMU BINAFSI

MADA YA KUMI NA MOJA

 

Chagua swali sahihi

  1. Mtu mwenye nidhamu nidhamu binafsi
  1. Ujipenda
  2. Upendwa na kuheshimiwa
  3. Ujisifia
  4. Ana ubinafsi
  1. Umuhimi wa vipaumbile katika maisha yako kama mwanafunzi ni
Choose Answer


  1. Utapedwa
  2. Utatimiza malengo yako
  3. Utawaringia wengine
  4. Utakuwa mjasiri
Choose Answer


  1. Msukumo unaotoka ndani yako na nguvu ya pekee katika kufanikisha mambo huitwa?
  1. Uvumilivu
  2. Nidhamu
  3. Kujiamini
  4. Uadilifu
Choose Answer


  1. Mojawapo ya mapungufu ambayo tunatakiwa tukabiaje nayo ni hayo isipokuwa
  1. Kukosa uzalendo
  2. Kukosa uadilifu
  3. Kuwa mvumulivu
  4. Kutojiamini
Choose Answer


  1. Mjowapo ya faida ya kujiamini ni?
  1. Kujipenda
  2. Kushirikiana na wenzake
  3. Kukosa ustaharabu
  4. Kuongeza bidii na kutafuta msaada
Choose Answer


  1. Katika kufanya maamuzi tunapaswa kuonyesha?
  1. Uzalendo
  2. Busara
  3. Uharaka
  4. Ujeuri
Choose Answer


  1. Faida ya kufanya tathmini ya maisha yako ni;
  1. Kuwa jasiri
  2. Kujipenda
  3. Kukuza ustawi wa maisha yako
  4. Kupendwa na watu
Choose Answer


  1. Kitendo cha mtu kufanya jambo kwa kinyume anachosema kinaitwa?
  1. Uzaleendo
  2. Unafiki
  3. Ukatili
  4. Uwongo
Choose Answer


  1. Tunaweza kujikinga na wanafiki kwa kufanya yafuatao isipokuwa:
  1. Kufahamu ukweli kuhusu unafiki
  2. Kujilinda na watu wanafiki
  3. Kuwapenda watu wanafiki
  4. Tusimwambie kila mtu changamoto zetu
Choose Answer


  1. Zifuatazo ni mbinu za kukabiliana na watu wanafiki isipokuwa:
  1. Kuwatangaza wanafiki hadharani
  2. Masimulizi ya hadithi
  3. Kutumia vyombo vya habari
  4. Kuwashauri na kujenga urafiki nao
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Msimamo ni ile hali ya mtu kutetea jambo kwa kutetereka.............
  2. View Answer


  3. Vitendo visivyotiliwa shaka katika jamii hujenga ukweli.................
  4. View Answer


  5. Wanafiki wanahitajika ili kupeleka ujumbe haraka kwa jamii............
  6. View Answer


  7. Hoja hujengwa baada ya kufanya udadisi wa jambo...............
  8. View Answer


  9. Dawa pekee ya unafiki ni kukemea hadharani baada ya kupata ushahidi kamili..............
  10. View Answer


  11. Kujifunza kutokana na uzoefu wa watu wengine katika jamii ni kosa...............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256