MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: MASHUJAA WA AFRIKA

Chagua jibu Sahihi

  1. Kabla ya ukoloni majukumu ya kiongozi wa ukoo yalikuwa ni pamoja na:
  1. kutatua migogoro
  2. kusaini mikataba na wakoloni
  3. kuongeza idadi ya mifugo
  4. kujenga nyumba
  5. kuanzisha vijiji vya ujamaa
Choose Answer


2.Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:

  1. Berlin
  2. London
  3. Roma
  4. Paris
  5. New York
Choose Answer


3. Mapambano ya kudai Uhuru katika bara la Afrika yalianza baada ya:

  1. Kuundwa kwa Umoja wa Mataifa
  2. Kusambaratika kwa Umoja wa Kisovieti
  3. Vita Kuü ya Pili ya Dunia
  4. Kupigwa marufuku biashara ya watumwa
  5. Kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi
Choose Answer


4. Miongoni mwa mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi ni

  1. Agostino Neto, kwame Knrumah, na otto von Bismark
  2. Kwame Nkrumah, isike, seyyid Said
  3. Otto Von Bismark, Isike na Agostino Neto
  4. Mfalme Menelik wa II, Msiri wa mkwawa
Choose Answer


5. Mkutano wa kuigawa Afrika ulifanyika katika nchi ya;

  1. Uingereza
  2. Marekani
  3. Ujerumani
  4. Ufaransa
Choose Answer


6.Nchi nyingi za Afrika zilipztz uhuru kuanzia mwaka:

  1. 1961
  2. 1972
  3. 1960
  4. 1964
Choose Answer


7. Sababu mojawapo ya kiuchumi ilyotumika kuamia Bara la Africa ni:

  1. Kilimo
  2. Kupata elimu
  3. Biashara
  4. Uchukuzi
Choose Answer


8. Nchi ya Libya ilipata Uhuru wake Mwaka?

  1. 1956
  2. 1960
  3. 1951
  4. 1957
Choose Answer


9. Ipi kati ya hizi sio njia ya uvamizi mpya

  1. Njia za kisiasa
  2. Njia za kisayansi
  3. Njia za kiuchumi
  4. Njia za kiutamaduni
Choose Answer


10. Nchi ya kwanza afrika Kupata Uhuru ilikuwa

  1. Ethiopia
  2. Ghana
  3. Liberia
  4. Uganda
Choose Answer


Andikandiyokwa sentensi sahihi nahapanakwa sentensi zisizo sahihi.

  1. Uvamizi mpya kutoka nchi za kigeni hutumia vita kuvamia Bara la Afrika..............
  2. View Answer


  3. Malighafi ni muhimu katika viwanda vya wavamizi wanaokuja Bara la Afrika............
  4. View Answer


  5. Misaada ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kutoka Ulaya ni njia pekee za kujikomboa...........
  6. View Answer


  7. Mikataba mizuri ya biashara ni njia ya kuwasaidia Waafrika kupambana uvamizi................
View Answer


Andikandiyokwa sentesi sahihi nahapanakwa sentensi zisizo sahihi.

  1. Mashujaa wa Afrika hufanya kazi ya kuwaelekeza wavamizi sehemu zenye rasilimali..............
  2. View Answer


  3. Uvamizi mpya katika nchi za Afrika ulitokea kabla ya nchi hizo kupata uhuru................
  4. View Answer


  5. Nchi za Burundi, Rwanda na Uganda zilipata uhuru mwaka 1962............
  6. View Answer


  7. Soko huria ni mfumo wa uchumi ambao bei ya bidhaa zake na huduma zinazotolewa, hupangwa na serikali............
  8. View Answer


  9. Misaada na mikopo inayotolewa na mataifa ya Ulaya Marekani na Asia husaidia nchi za Afrika kupambana na uvamizi.............
  10. View Answer


  11. Wavamizi wanapokuja Afrika huwafundisha Waafrika kutengeneza bidhaa mbalimbali..............
  12. View Answer


  13. Mataifa ya Ulaya na Marekani hutuma majeshi yao Afrika kusaidia ulinzi wa amani kwa lengo la kutaka kunufaika na rasilimali zilizopo Afrika............
  14. View Answer


  15. Wavamizi kutoka nchi za nje huja Afrika kununua malighafi kwa bei ndogo na kutuuzia bidhaa zao kwa bei kubwa...............
  16. View Answer


  17. Nchi za Afrika zinajitahidi kuimarisha uchumi wan chi zao kwa kupambana na rushwa, ufisadi na viongozi.............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256