MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: RAMANI

Chagua Jibu Sahihi

  1. Ramani inayoonesha sura ya asili ya nchi huitwa
  1. Ramani hai
  2. Ramani ya topografia
  3. Ramani ya dunia
  4. Ramani takwimu
Choose Answer


  1. Kati ya watu hawa nani hatumii ramani?
  1. Watalii
  2. Rubani
  3. Wajenzi
  4. Wakulima
Choose Answer


  1. Kielelezo kinachofafanua alama au rangi zilizotumika katika ramani huitwa
  1. Kichwa
  2. Dira
  3. Ufunguo
  4. Kipimio
Choose Answer


  1. Huonyesha mwisho au mpaka wa ramani
  1. Huonyesha mwanzo wa ramani
  2. Huonyesha mipaka ya ramani
  3. Huonyesha ukubwa wa ramani
  4. Huonyesha mwelekeo wa ramani
Choose Answer


  1. Yafuatao ni matumizi ya ramani isipokuwa
  1. Kuonyesha mahali vitu vilivyo
  2. Kuongoza meli au aeropleni
  3. Kuelezea maeneo ya tabianchi
  4. Kucheza mpira wa miguu
Choose Answer


  1. Ramani inayoonesha idadi ya watu au vitu katika eneo fulani huitwa?
  1. Ramani dufu
  2. Ramani takwimu
  3. Ramani topografia
  4. Ramani kipimo
Choose Answer


  1. Uwiano kati ya umbali uliopo katika ramani na umbali halisi kwenye ardhi huitwa
  1. Dira
  2. Kichwa
  3. Ufunguo
  4. Kipimio
Choose Answer


  1. Dira wakati wowote huonyesha upande wa
  1. Kusini
  2. Kaskazini
  3. Mashariki
  4. Magharibi
Choose Answer


  1. Ramani hutambulishwa na
  1. Ufunguo
  2. Dira
  3. Fremu
  4. zote
Choose Answer


View Answer


Katika sentesi zifuatazo 9-14 andika ndiyo kwa sentensi sahiih na hapana kwa sentensi zisizo sahihi.

  1. Ramani ni uwakilishi wa sehemu ya eneo la uso wa nchi katika karatasi...............
  2. View Answer


  3. Ramani za topografia huonesha sura ya nchi...........
  4. View Answer


  5. Dira ya ramani ni utambulisho wa ramani........
  6. View Answer


  7. Ukichora mstari katikati ya Kaskazini na Mashariki tunapata Kaskazini Magharibi..........
  8. View Answer


  9. Ramani hutumiwa na wapimaji ardhi katika kuandaa mipango miji................
  10. View Answer


  11. Kusini Magharibi iko katikati ya Kusini na Mashariki...................
  12. View Answer


  13. Sura ya nchi huoneshwa katika ramani ya aina ya..........
  14. View Answer


  15. Dira wakati wote huonesha upande wa..............
  16. View Answer


  17. Ramani hutambulishwa na.............
  18. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256