MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: UHUSIANO WA TANZANIA NA NCHI NYINGINE KABLA YA UKOLONI

Jibu maswali yafuatayo kwa kuchagua jibu sahihi.

  1. .............ni lengo la waarabu wa Omani kuja Pwani ya Afrika Mashariki.
  1. Kilimo
  2. Uvuvi
  3. Biashara
  4. Upagazi
Choose Answer


  1. Wareno walifika Pwani ya Afrika Mashariki mwaka:
  1. 1540
  2. 1498
  3. 1497
  4. 1690
Choose Answer


  1. Wareno walifika katika mji wa Kilwa mnamo karne ya:
  1. 15
  2. 16
  3. 18
  4. 19
Choose Answer


  1. Mreno wa kwanza kufika Pwani ya Afrika Mashariki alijulikana kwa jina la:
  1. William Mackinnon
  2. Charles Stokes
  3. Vasco da Gama
  4. Karl Peters
Choose Answer


  1. Wafaransa walipanua wigo wa biashara zao katika Pwani ya Afrika Mashariki karne ya:
  1. 19
  2. 17
  3. 18
  4. 16
Choose Answer


6. Makabila matatu katika Tanzania yaliyoshiriki katika biashara ya watumwa ni:

  1. Wahehe, Wabena na Wanyama
  2. Wazaramo, Wazigua na Waluguru
  3. Wachaga, Wapare na Wasambaa
  4. Wahangaza, Wahaya na Wakurya
  5. Wanyamwezi, Wahaya na Wasumbwa
Choose Answer


7. Ni bidhaa za aina gani zililetwa Afrika Mashariki na wafanyabiashara kutoka Indonesia na China karne ya 8?

  1. Chuma, maganda ya kobe, na dhahabu
  2. Nguo, shanga na vyombo vya nyumbani
  3. Baruti, shanga na dhahabu
  4. Shanga, bunduki na pembe za ndovu
  5. Baruti, nguo za kitani na ngozi za chui
Choose Answer


8. Kundi lipi la mawakala wa ukoloni lilikuwa la kwanza kuja Tanganyika?

  1. Wamisionari
  2. Wafanyabiashara
  3. Walowezi
  4. Wapelelezi
  5. Mabaharia
Choose Answer


9. Mapinduzi ya kiuchumi barani Ulaya yalitokea kati ya .....

  1. karneya 16 na 17
  2. karneya 15 na 16
  3. karne ya 17 na 18
  4. karneya 18 na 19
  5. karne ya 15na 20
Choose Answer


10.Soko kuu la watumwa Zanzibar lilifungwa mwaka ......

  1. 1873
  2. 1822
  3. 1845
  4. 1820
  5. 1900
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256