MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: UTAMADUNI

Chagua Jibu sahihi

  1. Lugha inayowaunganisha Watanzania wote ni:
  1. Kihehe
  2. Kiswahili
  3. Kiingereza
  4. Kisukuma
Choose Answer


  1. Ufundi wa kuwasilisha hisia na mawazo yaliyomo katika fikra huitwa:
  1. Mila
  2. Desturi
  3. Sanaa
  4. Utamaduni
Choose Answer


  1. Mambo yanayofanywa na jamii fulani kulingana na asili, mazingira na mienendo ya jamii hiyo huitwa:
  1. Mila
  2. Desturi
  3. Utamaduni
  4. Sanaa
Choose Answer


  1. ............ni asili, mila, jadi, imani na desturi za jamii fulani:
  1. Utamaduni
  2. Desturi
  3. Sanaa
  4. Mila
Choose Answer


  1. Jambo la kawaida linalotendwa kila siku na jamii fulani huitwa:
  1. Lugha
  2. Sanaa
  3. Desturi
  4. Mila
Choose Answer


Andikandiyokwa sentensi sahihi nahapanakwa sentensi zisizo sahihi.

  1. Mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanaweza kuathiri utamaduni...............
  2. View Answer


  3. Mila na desturi hutambulisha jamii fulani.............
  4. View Answer


  5. Lugha ni kitambulisho cha jamii yoyote.................

  6. Kufanya kazi ni kipimo cha utu katika jamii..............
  7. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256