MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: UJASIRIAMALI

Chagua Jibu Sahihi

  1. Ipi kati ya fursa hizi za kibiashara haipatikani mijini?
  1. Ufugaji
  2. Kushona nguo
  3. Usafirishaji
  4. Kuuza vyakula
Choose Answer


  1. Faida ya ubunifu ni hizi isipokuwa;
  1. Kuvutia wateja
  2. Kukabiliana na ushindani
  3. Kuiga kazi za wengine
  4. Kuongeza faida
Choose Answer


  1. Ipi sio aina ya wajasiriamali?
  1. Wajasiriamali wabunifu
  2. Wajasiriamali wafanyabiashara
  3. Wajasiriamali watumishi
  4. Wajasiriamali jamii
Choose Answer


  1. Tabia hizi zinaweza kukwamisha biashara yako isipokuwa
  1. Kujituma
  2. Uvivu
  3. Kuwa na visingizio
  4. Kupoteza muda
Choose Answer


  1. Ipi sio tabia ya mjasiriamali?
  1. Uthubutu
  2. Uaminifu na uadilifu
  3. Kukata tama
  4. Ubunifu
Choose Answer


  1. Fursa ya ujasiriamali inayopatikana vijijini  pamoja na
  1. Ukulima
  2. Ufugaji
  3. Uchimbaji madini
  4. Zote hizo
Choose Answer


  1. Tunaweza kujijengea tabia za kijasiriamali kwa
  1. Kuiga watu
  2. Kutegemea misaada ya ndugu
  3. Kufanya kazi pale inapohitajika
  4. Kuwa na mtazamo chanya
Choose Answer


  1. Watu wengi wanashidwa kuendelea kibiashara kwa sababu ya;
  1. Kukosa ubunifu
  2. Kutofanya kazi kwa bidii
  3. Kuiga kazi za wengine
  4. Yote hayo yanahusika
Choose Answer


  1. Unapoanzisha mradi wa kufuga kuku, lengo kuu ni kupata:
  1. Kuku au mayai
  2. Faida
  3. Kipato
  4. Kitoweo
Choose Answer


  1. Ili kuongeza kipato na kufaidi matunda ya ujasiriamali ni vyema:
  1. Kufanya kazi kwa bidii
  2. Kupumzika na kusubiri mapato
  3. Kuomba msaada wa Mungu
  4. Kutafuta watumiaji
Choose Answer


Andika neno ndiyo kwa sentensi sahihi na hapana kwa sentensi ambazo sio sahihi (13-20).

  1. Kila anayefanya biashara ndogondogo ni mjasiriamali.................
  2. View Answer


  3. Ukiwa na tabia za kijasiriamali una uwezekano mkubwa wa kufanikiwa katika biashara..........
  4. View Answer


  5. Bila kuwepo na wanunuzi wenye uwezo wa kununua unachozalisha, hakuna fursa ya kibiashara..........
  6. View Answer


  7. Mahali penye viwanda huvutia wajasiriamali.............
  8. View Answer


  9. Mafanikio ya mtu yanamtegemea mtu mwenyewe zaidi kuliko serikali au watu wengine..........
  10. View Answer


  11. Mjasiriamali anaweza kutoa ajira kwa wanajamii................
  12. View Answer


  13. Wako wafugaji, wakulima, wavuvi na wachuuzi ambao hawafanyi kazi zao kijasiriamali..........
  14. View Answer


  15. Kujiajiri mwenyewe ni kati ya mambo yanayochangia kukuza pato la taifa..........
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256