MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: MASHUJAA WA AFRIKA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Muhammad Ahmad alikuwa ni kiongozi wa nchi ya:
  1. Rwanda
  2. Burundi
  3. Sudan
  4. Niger
Choose Answer


  1. Sababu ya wakoloni kuvamia ukanda wa pwani katika Afrika ilikuwa ni:
  1. Urahisi wa kufanya biashara
  2. Urahisi wa kuwasaidia watu
  3. Urahisi wa kuendesha shughuli za kilimo
  4. Kurahisisha uchimbaji wa madini
Choose Answer


  1. Miongoni mwa mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi ni:
  1. Agostino Neto, Kwame Nkurumah na Otto Von Bismack
  2. Kwame Nkurumah, Isike, Seyyid Said
  3. Otto Von Bismack, Isike na Agostino Neto
  4. Mfalme Menelik wa II, Msiri na Mkwawa.
Choose Answer


  1. Mkutano wa kuigawa Afrika ulifanyika katika nchi ya:
  1. Uingereza
  2. Marekani
  3. Ujerumani
  4. ufaransa
Choose Answer


  1. sababu kuu ya kupinga uvamizi wa afrika ilikuwa;
  1. kulinda biashara zao
  2. kupinga unyonyaji
  3. kulinda uhuru
  4. kupinga kutozwa kodi
Choose Answer


  1. Taifa la afrika ambalo liliwashinda wakoloni ni:
  1. Liberia
  2. Tanzania
  3. Ethiopia
  4. Misri
Choose Answer


  1. Sababu kuu ya wavamizi kuja Afrika ilikuwa;
  1. Kuwalinda waafrika
  2. Kuwastarabisha waafrika
  3. Kutafuta masoko
  4. Kutafuta malighafi
Choose Answer


  1. Ni kiongozi yupi afrika Mashariki alishiriki kupinga uvamizi kwa njia ya vita?
  1. Mkwawa
  2. Oloiboni
  3. Mangisina
  4. Mfalme Menelik
Choose Answer


  1. Kingozi aliyewaongoza waethiopia kushinda waitaliano alikuwa
  1. Mkwawa
  2. Mangisina
  3. Menelik
  4. Olkoyoti
Choose Answer


  1. Ni kiongozi yupi alipigana na wavamizi katika nchi ya Kongo?
  1. Mobutu seseseko
  2. Dos Santos
  3. Patrice Lumumba
  4. Joseph Kabila
Choose Answer


Andikandiyokama sentensi ni sahihi nahapanakama sio sahihi:

  1. Wavamizi kutoka mataifa ya Ulaya walikuja Afrika kuwasaidia Waafrika kukuza sekta ya kilimo, viwanda na biashara...........
  2. View Answer


  3. Patrice Lumumba alipinga uvamizi katika nchi ya Kongo...............
  4. View Answer


  5. Tanganyika, Victoria, Nyasa, Edward na Albert ni maziwa makubwa yanayopatikana Afrika Magharibi............
  6. View Answer


  7. Mkutano wa Berlin uliitishwa na Kansela wa kwanza wa Ujerumani Otto Von Bismark...........
  8. View Answer


  9. Mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi walikuwa na sifa ya ujasiri, upendo, uzalendo, wapenda amani, wapenda maendeleo na kutopenda unyonyaji...............
  10. View Answer


  11. Kodi iliyotozwa na Wajerumani Afrika Mashariki iliitwa kodi ya wanaume..............
  12. View Answer


  13. Njia zilizotumiwa na wakoloni kuvamia Bara la Afrika ilikuwa njia ya amani.............
  14. View Answer


  15. Msiri alipigana na Wabelgiji katika nchi ya Tanganyika......
  16. View Answer


  17. Katika harakati za kupinga uvamizi Afrika mashujaa waliwezesha nchi za Afrika kuwa na umoja ............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256