MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: UTAWALA WA KIKOLONI

Chagua Jibu sahihi

1.Kabla ya ukoloni majukumu ya kiongozi wa ukoo yalikuwa ni pamoja na:

  1. kutatua migogoro
  2. kusaini mikataba na wakoloni
  3. kuongeza idadi ya mifugo
  4. kujenga nyumba
  5. kuanzisha vijiji vya ujamaa
Choose Answer


2.Utawala waWaingereza nchini Tanganyika uliisha mnamo .....

  1. karne ya 15
  2. karne ya 19
  3. karne ya 20
  4. karne ya 18
  5. karne y 17
Choose Answer


3.Watangulizi wa kwanza wa ukoloni kuwasili Zanzibar na Tanganyika walikuwa:

  1. wafanya biashara
  2. Wamisionari
  3. Wapelelezi
  4. Walowezi
  5. Waarabu
Choose Answer


4.Jamii za Afrika ya Mashariki zilizopinga ukoloni kwa silaha ni pamoja na:

  1. Wanandi na Wahehe
  2. Wasangu na Wabena
  3. Waha na Wakamba
  4. Waganda na Wabena
  5. Wabena na Wapare
Choose Answer


5. Mapambano ya kudai Uhuru katika bara la Afrika yalianza baada ya:

  1. Kuundwa kwa Umoja wa Mataifa
  2. Kusambaratika kwa Umoja wa Kisovieti
  3. Vita Kuü ya Pili ya Dunia
  4. Kupigwa marufuku biashara ya watumwa
  5. Kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi
Choose Answer


6.Makabila maarufu katika Afrika ya Mashariki yaliyojihusisha na biashara kabla ya ukoloni ni

  1. Wangoni, Wakikuyu na Wachaga.
  2. Wayao, Wangoni na Wakikuyu.
  3. Wanyamwezi, Wayao na Wakikuyu.
  4. Wanyamwezi, Wayao na Wazaramo.
  5. Wayao, Wanyamwezi na Wakamba.
Choose Answer


7.Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa ..

  1. Naijeria, Namibia na Togo.
  2. Gambia, Togo na Namibia.
  3. Kameruni, Togo na Namibia.
  4. Namibia, Tanganyika na Naijeria.
  5. Kameruni, Tanganyika na Senegal.
Choose Answer


8.Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya .....

  1. Vita Kuu ya Kwanza.
  2. Vita Kuuya Pili.
  3. Mkutano wa Berlin.
  4. Kuundwa kwa UNO.
  5. Kushindwa kwa Wareno.
Choose Answer


9.Moja ya malengo ya elimu ya kikoloni ilikuwa:

  1. kupambana na ujinga na umaskini
  2. kupunguza uzalishaji wa mazao ya biashara
  3. kupata watumishi wa ngazi za chini
  4. kuongeza ajira kwa vijana
  5. kupambana dhidi ya ubaguzi wa rangi
Choose Answer


10.Mojawapo ya athari ya utawala wa Wareno katika Afrika Mashariki ilikuwa:

  1. kuanzishwa kwa uislamu
  2. kukomeshwa kwa biashara ya utumwa
  3. kuharibiwa kwa miji ya pwani
  4. kusaini mikataba ya ulaghai
  5. kuanzisha mashamba ya katani
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256