MTIHANI WA MWISHO WA MADA
MADA: RASILIMALI ZETU
Chagua Jibu Sahihi.
1. Picha iliyopigwa katika uoto wa savanna huonesha ...
2. Athari kuu za viwanda katika mazingira ni .....
3. Faida ya matumizi mrudio katika utunzaji wa mazingira ni ...
4.Ni aina gani ya madini yaligunduliwa kwa wingi nchini Tanzania mwaka 2007?
5.Kipi kati ya vifuatavyo ni chanzo kikuu cha maji?
6.Uoto unaoathiri mazingira ya ziwa Victoria ni
7. Nishati gani kati ya zifuatazo inaweza kusababisha uharibifu wa mazingira?
8. Ufugaji wa kisasa wa wanyama huzingatia nini? ..
9. Kuna makundi mangapi ya uoto wa asili?
10. Mbuga Kubwa zaidi ya wanyama Nchini Tanzania ni;
Jibu maswali yafuatayo:
Andikandiyokwa sentensi zilizo sahihi nahapanakwa sentensi zisizo sahihi 22-27.