MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SABA

USAFIRISHAJI NA UHUSIANO WA TANZANIA NA NCHI ZINGINE

Chagua Jibu Sahihi

1. Wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni:

  1. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na China
  2. Marekani, Uingereza, Ujerumani, Urusi na China
  3. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na Italia
  4. Marekani, Uingereza, Urusi, Kanada na Ujerumani
  5. Marekani, Uingereza, Urusi, Japani na Ujerumani
Choose Answer


2. Wanachama waanzilishi wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) walikuwa:

  1. nchi huru za Afrika ya Kati
  2. nchi huru za Afrika
  3. nchi huru za Afrika ya Kaskazini
  4. nchi huru za Afrika ya Magharibi
  5. nchi huru kusini mwa Afrika.
Choose Answer


3. Ipi kati ya zifuatazo ni athari za kutumia vibaya njia za kisasa za mawasiliano?

  1. Mmomonyoko wa maadili
  2. Upatikanaji wa taarifa
  3. Kuleta maendeleo
  4. Kuelimisha jamii
  5. Kuendeleza umoja
Choose Answer


4. Tanzania inapata faida gani kwa kuongeza biashara yake ya kimataifa?

  1. Kuongeza majengo
  2. Kupunguza wajasiriamali wa ndani
  3. Kuongeza deni
  4. Kupunguza mikataba ya kibiashara
  5. Kuongeza fedha za kigeni
Choose Answer


5. Aina kuu za usafirishaji Tanzania ni:

  1. Maji, mito na anga
  2. Ardhi, maji na anga
  3. Bahari, ardhi na anga
  4. Ardhi, maji na maziwa
  5. Mito, maziwa na bahari
Choose Answer


6. Mojawapo ya udhaifu wa Umoja wa Mataifa ni:

  1. kushindwa kuzuia kuenea kwa Utandawazi
  2. Waafrika hawajawahi kupata nafasi katika uongozi wa juu katika Umoja wa Mataifa
  3. baadhi ya watu tu ndio wenye kura ya turufu
  4. kushindwa kupitisha maazimio ya haki za binadamu
  5. kutokushirikishwa kwa Waafrika katika vikao vya baraza la usalama
Choose Answer


7. Ni mataifa yapi kati ya yafuatayo yalianzisha umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote?

  1. Ulaya Mashariki.
  2. Nchi zinazoendelea
  3. Ulaya Magharibi.
  4. Amerika ya Kusini
  5. Amerika ya Kaskazini
Choose Answer


8. Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za uchukuzi ni: .....

  1. mtaji, sura ya nchi, uzalishaji na biashara.
  2. teknolojia, serikali, mtaji na biashara.
  3. mtaji, sura ya nchi, watu na viwanda.
  4. serikali, mashirika, mtaji na watu.
  5. teknolojia, mtaji, uzalishaji, biashara na sura ya nchi.
Choose Answer


9. Viashiria vya utandawazi ni pamoja na...............

  1. kupungua kwa tofauti ya kipato
  2. uchumi wa soko huria
  3. kupungua kwa umaskini
  4. kuwepo kwa ushindani wa kutengeneza silaha
  5. kuwepo kwa bidhaa nyingi toka viwanda vya ndani
Choose Answer


10. Biashara ya kimataifa inahusisha...............

  1. uingizaji na usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi
  2. uingizaji bidhaa kutoka nje ya nchi tu
  3. usafirishaji bidhaa kwenda nje ya nchi tu
  4. kufanya biashara kwa kutumia pesa
  5. kukopa fedha kutoka nje ya nchi
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli katika nafasi uliyopewa.

  1. Bomba la mafuta TAZAMA limesaidia kusafirisha madini ya shaba nchini Zambia…………..
  2. View Answer


  3. Njia za ushafirishaji nchini huleta maendeleo nchini na nchi Jirani…………..
  4. View Answer


  5. Reli ya TAZARA imeimarisha uhusiano wa Tanzania na Zambia katika Nyanja za uchumi, siasa na kijamii……………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256