MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SABA

SHUGHULIZA KIUCHUMI AFRIKA MASHARIKI

Chagua Jibu Sahihi

1.Uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania ni:

  1. kilimo
  2. ujasiriamali
  3. biashara
  4. utandawazi
  5. madini
Choose Answer


2.Watu wanaoishi kandokando mwa bahari na maziwa hujihusisha na shughuli za:

  1. kilimo
  2. uvuvi
  3. uvunaji magogo
  4. ufugaji
  5. usafirishaji
Choose Answer


3.Mbuga za wanyama zinazopatikana Tanzania ni:

  1. Serengeti, Ruaha na Mikumi
  2. Tarangire, Katavi na Ngorongoro
  3. Serengeti, Manyara na Ngorongoro
  4. Selous, Serengeti na Mikumi
  5. Mkomazi, Selous na Ngorongoro
Choose Answer


4.Uvuvi usio endeleevu waweza kusababisha yafuatayo kasoro:

  1. vifo vya watu
  2. vifo vya samaki
  3. uchafuzi wa maji
  4. umaskini
  5. utajiri
Choose Answer


5. Mikoa mitatu ya Tanzania ambako zao hili hulimwa kwa wingi ni:

  1. Arusha, Dodoma na Kilimanjaro
  2. Tanga, Morogoro na Kilimanjaro
  3. Iringa, Mbeya na Rukwa
  4. Dodoma, Rukwa na Tabora
  5. Mwanza, Kagera na Kilimanjaro
Choose Answer


6. Nchi zinazovuna maji ya mvua na kuyatumia kuongeza maji kwenye udongo ni:

  1. Marekani na India
  2. Tanzania na India
  3. India na Kenya
  4. Kenya na Uganda
  5. China na Marekani
Choose Answer


7.Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ...

  1. zinazotengenezwa nje ya nchi.
  2. zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi.
  3. zinazozalishwa ndani ya nchi.
  4. zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi.
  5. zinazouzwa nje ya nchi.
Choose Answer


8.Zao la mkonge hulimwa katika mikoa ipi Tanzania? ....... .

  1. Tanga na Mbeya.
  2. Morogoro na Pwani.
  3. Morogoro na Tanga.
  4. Kilimanjaro na Manyara.
  5. Mtwara na Singida
Choose Answer


9.Mgawanyo wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki na kuunda tawi la Mashariki na Magharibi umeanzia Ziwa .........

  1. Victoria.
  2. Tanganyika.
  3. Natroni.
  4. Nyasa.
  5. Manyara.
Choose Answer


10.Ni maziwa yapi yanapatikana katika Bonde la Ufa la upande wa Mashariki?

  1. Turkana, Rukwa na Kyoga.
  2. Nyasa, Victoria na Eyasi.
  3. Turkana, Natroni na Eyasi
  4. Victoria, Eyasi na Kyoga.
  5. Albert, Edward na Kivu
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli.

  1. Mazao ya chakula kwa yanalimwa ajili ya chakula tu........................
  2. View Answer


  3. Kahawa, pamba, na karafuu ni baadhi ya mazao ya biashara.................
  4. View Answer


  5. Uchimbaji madini hunufaisha familia za wachimbaji tu Afrika Mashariki
  6. View Answer


  7. Kuongezeka kwa pato la taifa ni moja ya faida ya shughuliza kiuchumi.............

View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256