MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SABA

KUTEKETEZA TAKA

Jibu maswali yote katika sehemu A, B na C

Sehemu A

Chagua herufi ya jibu sahihi.

    Kipi si kigezo cha kuzingatia wakati wa kujenga tanuri la kuteketezea taka?
    Kuwa mbali na makazi ya watu
  1. Kuwa sehemu yenye taka nyingi
  2. Kuwa mbali na vitu vinavyoshika moto
  3. Kufika kwa urahisi
Choose Answer


    Tanuri likijengwa karibu na vitu vinavyoshika moto kwa haraka………
    Husababisha taka kuwaka kwa haraka
  1. Husababisha moshi mwingi wakati wa kuwaka
  2. Hutoa majivu mengi Zaidi
  3. Huweza kusababisha ajali ya moto
Choose Answer


    Kubaini aina za taka wakati wa kuzichambua husaidia…………
    Kubaini namna ya kuziteketeza
  1. Kubaini wingi wa taka
  2. Kubaini namna ya kuzipanga
  3. Kupunguza harufu ya taka
Choose Answer


    Uzalishaji wa umeme kwa njia ya tanuri unahitaji……..
    Maji kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme
  1. Maji yaliyochemshwa kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme
  2. Mvuke kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme
  3. Hewa ya oksijeni kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme
Choose Answer


    Hatua ya kwanza katika kuteketeza taka ni?
    Kuzichoma
  1. Kuzitenganisha
  2. Kuzichambua
  3. Kuziloweka.
Choose Answer


    Zipi kati ya hizi taka haziozi?
      Nguo
    1. Plastiki
    2. Makaratasi
    3. Majani
    Choose Answer


      Ipi sio njia sahihi ya kuteketeza taka?
      Kuchoma moto
    1. Kurejeleza
    2. Kulisha wanyama
    3. Kutengeneza mboji
    Choose Answer


      Jukumu la kuweka mazingira safi ni la?
      Wazazi
    1. Halimashauri ya mji
    2. Watu wote
    3. Viongozi wa serikali
    Choose Answer


    Sehemu B

    1. Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli katika nafasi uliyopewa.
    1. Kuchoma moto taka siyo njia pekee ya kuteketeza taka…………
    2. View Answer


    3. Hali ya taka ni kigezo muhimu katika kuchagua njia ya kuziteketeza…………
    4. View Answer


    5. Ukubwa wa tanuri la kuteketezea taka hutegemea tu uwezo wa kifedha wa mtumiaji………..
    6. View Answer


    7. Taka za sumu na zisizo za sumu hazihitaji kuwahusisha wataalamu katika uteketezaji……..
    8. View Answer


    9. Taka zote za majumbani huteketezwa kwa njia ya tanuri………..
    View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256