MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SABA

KUELEA NA KUZAMA KWA VITU

Sehemu A

  1. Nini kinachosababisha kitu kuelea au kuzama kwenye maji?
  1. Urefu wa kitu
  2. Upana wa kitu
  3. Densiti ya kitu
  4. Kimo cha kitu
Choose Answer


  1. Kama densiti ya kitu ni ndogo kuliko ya maji, nini kitatokea ukidondosha kitu hicho kwenye maji?
  1. Kitazama
  2. Kitaelea
  3. Kitazama na kuelea
  4. Kitazama au kuelea
Choose Answer


  1. Densiti ya kitu ni tungamo ya kizio kimoja cha…………..
  1. Uzito
  2. Urefu
  3. Kina
  4. Ujazo
Choose Answer


  1. Nyambizi inazama baharini ikiwa densiti yake ni…….
  1. Ndogo kuliko densiti ya maji
  2. Kubwa kuliko densiti ya maji
  3. Sawasawa na densiti ya maji
  4. Kubwa au ndogo kuliko densiti ya maji
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256