MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SABA

MASHINE TATA

Jibu maswali

Sehemu A

  1. Bapa ni sehemu ya…………
    Cherehani
  1. Baiskeli
  2. Blenda
  3. Gurudumu la gari
Choose Answer


  1. Mota katika blenda hubadilisha nishati ya umeme kuwa nishati ya………..
    Joto
  1. Makaniki
  2. Mwanga
  3. Joto na mwanga
Choose Answer


  1. Nishati katika mashine ya kusaga nafaka husafirishwa kutoka kwenye mota hadi kwenye kinu kwa kutumia…………
    Mkanda
  1. Gurudumu na ekseli
  2. Nyenzo 
  3. Mteremko 
Choose Answer


  1. Sehemu ya kutumbukiza ufunguo katika kitasa ina mashine sahili aina ya………….
    Nyenzo
  1. Springi
  2. Skrubu
  3. Gurudumu na ekseli
Choose Answer


  1. Cherehani hulainishwa kwa kutumia………..
    Grisi
  1. Mafuta ya kupikia
  2. Mafuta maalumu ya alizeti
  3. Mafuta maalumu
Choose Answer



 6. Kipi kati ya vifuatavyo hakitumii sumaku?

    Kipaza sauti 
  1. Simu ya mezani
  2. Redio
  3.  Simu ya mkono 
  4. Pasi
Choose Answer


7. Matumizi ya roda katika maisha ya kila siku ni:

    kunyanyua vitu vizito 
  1. kufungua vizibo vya chupa 
  2. kufunga vitu 
  3. kupunguza mwinuko
  4. kurahisisha kukata kuni.
Choose Answer


8. Jeki, parafujo, mkasi na patasi ni aina za mashine rahisi ziitwazo

    Tata 
  1. Nyenzo 
  2. Ekseli 
  3. Rola 
  4. Roda
Choose Answer


9. Mshipi na ndoano ya kuvua samaki ni mifano ya nyenzo daraja la ngapi?

  1. Pili 
  2. Kwanza
  3. Tano 
  4. Nne 
  5. Tatu
Choose Answer



10.  Aina kuu mbili za mashine ni:

    ngumu na laini
  1.  rahisi na tata
  2. za kumenya na kutwanga 
  3. puli na roda
  4. roda na katapila
Choose Answer


Sehemu C

Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli katika nafasi uliyopewa

  1. Mashine tata zimeundwa na mashine sahili zaidi ya moja…………
  2. View Answer


  3. Kitasa ni mashine sahili…………
  4. View Answer


  5. Mara nyingi mashine hufanya kazi iwe ngumu sana……………
  6. View Answer


  7. Cherehani hulainishwa kwa grisi……………
  8. View Answer


  9. Mteremko ni aina mojawapo ya mashine sahili katika mashine ya kusaga………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256