MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SABA

MFUMO WA UPUMUAJI

Jibu maswali yote katika sehemu A, B, na C.

Sehemu A

Chagua herufi ya jibu sahihi

  1. Ipi kati ya zifuatazo sio kazi ya mfumo wa upumuaji?
  1. Usafirishaji wa oksijeni kwenye tishu
  2. Kutoa joto na maji mwilini
  3. Mbadilishano wa hewa mwilini
  4. Kuzungumza, kupiga yowe na kuimba
Choose Answer


  1. Mbadilishano wa gesi hutokea kwenye……….
  1. Koromeo
  2. Pua
  3. Trakea
  4. Aliveoli
Choose Answer


  1. Vinyweleo na unyevunyevu unaoopatikana katika pua, husaidia……………
  1. Mbadilishano wa hewa
  2. Kunasa vijidudu na uchafu
  3. Kusafirisha hewa kwenda kwenye mapafu
  4. Kupooza hewa inayoingia mwilini kupitia puani
Choose Answer


  1. Unapotoa hewa nje ya mapafu misuli katika mbavu…………….
  1. Hulegea
  2. Hutanuka
  3. Hukaza
  4. Hukatika
Choose Answer


  1. Upumuaji umegawanyika katika hatua mbili ambazo ni mbadilishano wa gesi katika mapafu Pamoja na……….
  1. Kuingiza na kutoa hewa kwenye damu
  2. Kupitisha hewa kwenye koromeo
  3. Kuingiza na kutoa hewa kwenye mapafu
  4. Mapafu na kifua kusinyaa
Choose Answer



6. Damu huchukua oksijeni na kutoa kabondayoksaidi kupitia:

  1. Viribaehewa
  2. Kuta za mapafu
  3. Koromeo
  4. Kapilari
  5. Pua
Choose Answer


Sehemu B

  1. Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli katika nafasi uliyopewa.
  1. Kikohozi kinachoambatana na makohozi yenye damu ni dalili ya pumu………………
  2. View Answer


  3. Moshi wa sigara na kemikali za viwandani huchochea saratani ya mapafu…………
  4. View Answer


  5. Chavua na harufu ya manukato ni miongoni mwa vitu vinavyochochea pumu……..
  6. View Answer


  7. Kanuni za afya na usafi ni mhimili wa afya ya mfumo wa upumuaji…………
  8. View Answer


  9. Matumizi ya kemikali ni salama katika mfumo wa upumuaji………
  10. View Answer


  11. Kasi ya upumuaji hubadilika unapofanya mazoezi……………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256