Sukari iliyowekwa katika bika iko katika hali gani ya maada?
Kimiminika
Gesi
Yabisi
Elementi
Kompaundi
Choose Answer
4. Maada inapatikana katika hali zifuatazo:
Vimiminika, maji na gesi
Yabisi, vimiminika na hewa
Yabisi, vimiminika na gesi
Mawe, yabisi na gesi
Yabisi, hewa na gesi.
Choose Answer
5. Chumvi iliyomwagika kwenye ndoo ya maji inaweza kutenganishwa na maji hayo kwa kutumia njia ipi?
Kuchuja mchanganyiko huo
Kuchuja myeyuko huo
Kuvukiza myeyuko huo
kuchemsha mchangayiko huo
Kuvukiza mchanganyiko huo.
Choose Answer
6. Wakati wa kiangazi mimea hupukutisha majani kwa sababu ya:
kuruhusu majani mapya yaote
kukomaa sana
kuongeza rutuba ardhini
kuruhusu maua yaote
kupunguza upotevu wa maji
Choose Answer
7. Udhaifu wa sayansi upo katika kushindwa kuthibitisha:
uwepo wa jua
dunia kulizunguka jua
baadhi ya imani potofu
matatizo yatokanayo na ushirikina
teknoIojia za kisasa
Choose Answer
8. Mimea hujipatia maji na madini ya chumvi chumvi kwa njia inayowakilishwa na herufi L katika mchoro ufuatao. Njia hiyo ni ipi?
mjongeo wa maji na madini
translokesheni
fototropizimu
Osmosis
fotosinthesis
Choose Answer
9. Diana alichukua kiazi na kukichonga ili kutengeneza shimo katikati, na ndani yake akaweka myeyuko wa chumvi, kisha akakiweka katika bakuli lenye maji kidogo. Baada ya saa nne maji yaliongezeka katika lile shimo lenye chumvi. Je, Diana aligundua nini?
Maji hutoka kwenye myeyuko hafifu kwenda kwenye myeyuko mzito