MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

MASHINE TATA

Sehemu A

  1. Mashine tata imeundwa na……………
  1. Mashine rahisi tatu
  2. Mashine rahisi mbili au zaidi
  3. Mashine rahisi mbili tu
  4. Mashine zinazofanya kazi kwa kujitegemea
Choose Answer


  1. Mashine ipi kati ya hizi zifuatazo ni mashine tata?
  1. Kabari
  2. Wenzo
  3. Cherehani
  4. Mteremko
Choose Answer


  1. Mashine rahisi mbili au zaidi zinazounda mashine tata hufanya kazi………..
  1. Pamoja ili kurahisisha kazi
  2. Kila mmoja peke yake
  3. Sambamba kwa muda mrefu
  4. Tofauti kwa muda mrefu
Choose Answer


4.  Aina kuu mbili za mashine ni:

  1. ngumu na laini
  2.  rahisi na tata
  3. za kumenya na kutwanga 
  4. puli na roda
  5. roda na katapila
Choose Answer


5. Matumizi ya roda katika maisha ya kila siku ni:

  1. kunyanyua vitu vizito 
  2. kufungua vizibo vya chupa 
  3. kufunga vitu 
  4. kupunguza mwinuko
  5. kurahisisha kukata kuni.
Choose Answer


6. Kanuni sahihi ya kutafuta kiasi cha kazi kilichofanyika ni: 

  1. Kazi = kani x uzito
  2. Kazi=Umbali / Muda
     
  3. Kazi=Kani / Muda
  4. Kazi=Kani x Umbali
  5. Kazi=Umbali / Kani
Choose Answer


7. Jeki, parafujo, mkasi na patasi ni aina za mashine rahisi ziitwazo

  1. Tata 
  2. Nyenzo 
  3. Ekseli 
  4. Rola 
  5. Roda
Choose Answer


8. Mshipi na ndoano ya kuvua samaki ni mifano ya nyenzo daraja la ngapi?

  1. Pili 
  2. Kwanza
  3. Tano 
  4. Nne 
  5. Tatu
Choose Answer


9. Kipimo cha nguvu ni...

  1.  Mita 
  2.  Kilogramu 
  3.  Jouli
  4.  Kilomita 
  5.  Nyutoni
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256