MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

MAGONJWA YA KURITHI

  1. Chagua jibu sahihi katika maswali yafuatayo:
  1. Magonjwa ya kurithi husababishwa na………..
  1. Kasoro za vinasaba vya urithi
  2. Athari za uchafuzi wa mazingira
  3. Vimelea vya magonjwa
  4. Upungufu wa kinga mwilini
Choose Answer


  1. Moja kati ya zifuatazo ni dalili ya ugonjwa wa anemia selimundu…………
  1. Damu kutoka mfululizo kwenye jeraha
  2. Mishipa ya damu kupasuka hasa iliyo kwenye tishu laini
  3. Kupata choo chenye damu
  4. Kupungukiwa na damu mara kwa mara
Choose Answer


  1. Dawa zinazoongeza damu kuganda wakati mgonjwa wa hemofilia amepata jeraha………
  1. Hupunguza athari za hemofilia
  2. Huongeza athari za hemofilia
  3. Hazina msaada kwa mtu mwenye hemofilia
  4. Hutibu tatizo la hemofilia
Choose Answer


  1. Upi sio ugonjwa wa kurithi?
  1. Hemofilia
  2. Alibino
  3. Goita
  4. Selimundo
Choose Answer


  1. Ipi sio dalili ya ugonjwa wa anemia selimundu?
  1. Kuvimba miguu
  2. Homa za mara kwa mara
  3. Kupata maumivu sehemu mbalimbali
  4. Kuharisha
Choose Answer


  1. Mojawapo ya tahadhari za kuchukua kwa wagonjwa wa anemia selimundu ni
  1. Kumpatia mgonjwa mlo kamili
  2. Kumpatia chanjo
  3. Kufanya mazoezi magumu
  4. Kumpatia mgonjwa maji ya kutosha au chakula cha maji maji
Choose Answer


  1. Andika KWELI kwa sentensi ambazo ni sahihi na SI KWELI kwa sentensi zisizo sahihi.
  1. Hemofilia huwapata jinsi zote kwa usawa……….
  2. View Answer


  3. Anemia selimundu husababisha ukosefu wa damu………
  4. View Answer


  5. Kujongea kwa shida ni dalili inayoweza kuwapata wenye anemia selimundu na hemofilia………
  6. View Answer


  7. Anemia selimundu ni ugonjwa wa kurithi……..
  8. View Answer


  9. Tatizo la hemofilia huweza kuambukizwa kwa kuongezewa damu na mtu mwenye hemofilia……
  10. View Answer


  11. Baba anabeba vinasaba vya hemofilia………..
View Answer


  • Tatizo la hemofilia huweza kuambukizwa kwa kuongezewa damu na mtu mwenye hemofilia……
  • View Answer


  • Baba anabeba vinasaba vya hemofilia………..
  • View Answer


    Download Learning
    Hub App

    For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256