MTIHANI WA MWISHO WA MADA:

SURA YA PILI

UKUAJI WA MIMEA

1. Chagua jibu ambalo ni sahihi.

(i) Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;

  1. Kimo
  2. Uzani
  3. Unene
  4. Umbo la seli
Choose Answer


(ii) Kipi sio mahitaji muhimu ya ukuaji wa mimea 

  1. Gesi ya kabonidayoksaidi
  2. Maji
  3. Gesi ya Nitrojeni
  4. Mwanga na joto
Choose Answer


(iii) Kazi ya umbijani ni:-

  1. Kutengeneza chakula
  2. Kunasa nishati ya jua
  3. Kuchanganya maji na nishati ya jua
  4. Kupatia mmea rangi ya kujani
Choose Answer


(iv) Kitendo cha mimea kusanisi chakula kwa kutumia nishati ya mwanga wa jua huitwa

  1. Usanisi
  2. Fotosinthesis
  3. Usanisuru
  4. Husharabu
Choose Answer


(v) Shina la mmea likiwa jembamba, refu na majani kuwa na rangi ya manjano ni ukosefu wa:-

  1. Madini
  2. Maji
  3. Jua
  4. Hewa
Choose Answer


(vi) Kipi kati ya hivi haviongezi hewa ya kabonidayoksaidi kwenye angahewa?

  1. Moshi wa magari
  2. Shughuli za viwandani
  3. Ukataji miti
  4. Gesi ya kupikia.
Choose Answer


(vii) Ipi sio kazi ya maji katika mimea?

  1. Kuyeyusha virutubisho
  2. Kubeba kabohaidreti kutoka kwenye majani kwenda kwenye sehemu zingine.
  3. Kufanya mimea kuwa imara
  4. Husaidia mimea kutengeneza chakula
Choose Answer


(VIII) Mimea kudumaa na majani kukosa rangi yake husababishwa na:-

  1. Potasi
  2. Naitrojeni
  3. Kolisiama
  4. Fosiforasi
Choose Answer


(Ix) Tishu inayopitisha maji na virutubisho kutoka kwenye mizizi kwenda sehemu zote za mimea huitwa?

  1. Floemi
  2. Zailemu
  3. Vinyelezi
  4. Vinywele
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256