MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

NISHATI JADIDIFU

Sehemu A

  1. Vyanzo vya nishati jadidifu ni……………..
  1. Upepo, jua, maporomoko ya maji, fueli na gesivunde
  2. Upepo, jotoardhi, maporomoko ya maji na fueli
  3. Upepo, jua, jotoardhi, maporomoko ya maji na gesivunde
  4. Upepo, jua, jotoardhi, fueli na gesivunde
Choose Answer


  1. Kipi kati ya vifuatavyo humeng’enya kinyesi kwenye mtambo wa kuzalisha gesivunde?
  1. Virusi na bakteria
  2. Minyoo, nzi na bakteria
  3. Bakteria
  4. Nzi na minyoo
Choose Answer


  1. Sehemu kubwa ya gesivunde huundwa na gesi gani?
  1. Kabonidayoksaidi
  2. Haidrojeni salfaidi
  3. Haidrojeni
  4. Methani
Choose Answer


  1. Ipi sio sifa ya nishati jadidifu
  1. Haina madhara kwa viumbe hai
  2. Ni rasilimali ya kudumu
  3. Ni endelevu
  4. Ni rahisi
Choose Answer


  1. Kipi sio chanzo cha nishati jadidifu?
  1. Upepo
  2. Gesi asili
  3. Jotoardhi
  4. Gesivunde
Choose Answer


  1. Yapi sio matumizi ya Nishati Jadidifu?
  1. Kuendesha mitambo ya umeme
  2. Kuendesha vifaa vya elekroniki
  3. Kuendesha gari
  4. Kuendesha genereta kuzalisha umeme
Choose Answer


  1. Kifaa chenye mdomo mpana ambacho hupitisha kimiminiko kwenye chombo kingine huitwa
  1. Neli
  2. Silo
  3. Mpare
  4. Mfuniko
Choose Answer


Andika NDIYO kwa sentensi ambayo ni sahihi na HAPANA kwa sentensi ambayo si sahihi.

  1. Nishati jadidifu hutokana na rasilimali zisizorejelezwa……………
  2. View Answer


  3. Mchanganyiko unaounda gesivunde ni gesi ya methani, haidrojeni na kabonidayoksaidi………
  4. View Answer


  5. Kinyesi kilichoisha nguvu wakati wa uzalishaji wa gesivunde hutumika kama mbolea katika mashamba……….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256