MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
SAYANSI DARASA LA SITA
USANISHAJI CHAKULA
Chagua Jibu Sahihi
1. Mbegu za mimea uhifadhi chakula katika:
- mizizi
- majani
- shina
- kotiledoni
- tunda
Choose Answer
2. Gesi inayotumiwa na mimea kutengeneza protini ni:
- carbondayoksaidi
- haidrojen
- oksijen
- naitrojen
- gesi asilia
Choose Answer
3. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:
- mmea kukosa madini joto
- mmea kushindwa kusanisi chakula
- majani ya mmea kukauka
- majani ya mmea kuwa njano
- maj ani ya mmea kupukutika.
Choose Answer
4. Tendo Ia mimea kusafirisha maji kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani huitwa:
- osmosis
- difyusheni
- msukumo
- mgandamizo
- mjongeo
Choose Answer
5. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?
- Wadudu
- Mimea
- Wanyama
- Virusi
- Ndege
Choose Answer
6. Ili mimea iweze kuendelea kuishi katika mazingira yake inahitaji:
- hewa na udongo
- hewa na maji
- udongo na mbolea
- udongo na maji
- jotoridi na hewa
Choose Answer
7. Sehemu ya mmea inayofyonza maji inaitwa............
- shina
- tawi
- mzizi
- ua
- jani
Choose Answer
8. Mimea haiwezi kuendelea kukua bila hewa, maji na . . . . .
- Mwanga wa jua
- Upepo
- Baridi
- Barafu
Choose Answer
9. Muungano ufuatao ni muhimu kwenye utengenezaji wa kabohaidreti katika mimea:
- Oksijeni, klorofili na maji
- Kabondayoksaidi na maji
- Kabondayoksaidi, maji na mwanga wa jua
- Klorofili, maji na mwanga wa jua
- Klorofili, wanga na mwanga wa jua.
Choose Answer
10. Wakati wa kiangazi mimea hupukutisha majani kwa sababu ya:
- kuruhusu majani mapya yaote
- kukomaa sana
- kuongeza rutuba ardhini
- kuruhusu maua yaote
- kupunguza upotevu wa maji
Choose Answer