MTIHANI WA MWISHO WA MADA:
SURA YA PILI
UKUAJI WA MIMEA
1. Chagua jibu ambalo ni sahihi.
(i) Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;
(ii) Kipi sio mahitaji muhimu ya ukuaji wa mimea
(iii) Kazi ya umbijani ni:-
(iv) Kitendo cha mimea kusanisi chakula kwa kutumia nishati ya mwanga wa jua huitwa
(v) Shina la mmea likiwa jembamba, refu na majani kuwa na rangi ya manjano ni ukosefu wa:-
(vi) Kipi kati ya hivi haviongezi hewa ya kabonidayoksaidi kwenye angahewa?
(vii) Ipi sio kazi ya maji katika mimea?
(VIII) Mimea kudumaa na majani kukosa rangi yake husababishwa na:-
(Ix) Tishu inayopitisha maji na virutubisho kutoka kwenye mizizi kwenda sehemu zote za mimea huitwa?