MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

HUDUMA ZA AFYA

Sehemu A

  1. Chagua jibu sahihi
  1. Lengo kubwa la huduma za afya kwa wagonjwa ni…………..
  1. Kuwafariji kutokana na matatizo mbalimbali ya kimaisha
  2. Kuwasaidia kupona haraka ili warudi kwenye majukumu yao ya kawaida
  3. Kuwashauri kuhusu uzalishaji maji
  4. Kuwapunguzia gharama za maisha
Choose Answer


  1. Kuwa na wataalamu wa kutosha ni miongoni mwa sifa muhimu za……………..
  1. Kliniki yoyote ya afya ya jamii
  2. Kliniki ya ushauri kwa vijana tu
  3. Kituo cha kuwahudumia wajawazito tu
  4. Kutuo cha watoto yatima tu
Choose Answer


  1. Zifuatazo ni miongoni mwa tabia hatarishi kwa vijana isipokuwa ……….
  1. Ulevi
  2. Kuvuta bangi
  3. Kupenda kufanya kazi
  4. Matumizi ya dawa za kulevya
Choose Answer


  1. Wagonjwa wa kisukari hupewa huduma ya …………wanapohudhuria kliniki
  1. Kuongezewa maji
  2. Kuongezewa damu
  3. Ushauri wa lishe
  4. Kifedha
Choose Answer


  1. Chakula cha asili na bora zaidi kwa mtoto mchanga ni………….
  1. Maziwa ya mama
  2. Maziwa ya ng’ombe
  3. Maziwa ya kopo
  4. Uji wa lishe
Choose Answer


  1. Ipi sio faida ya maziwa ya mama?
  1. Yanazuia ulemavu ambao unaweza kutokea
  2. Mtoto hupata kinga ya asili
  3. Ni rahisi na salama
  4. Yana joto halisi linalohitajika na mtoto
Choose Answer


  1. Ipi sio faida ya vituo vya huduma za afya kwa Watoto?
  1. Wazazi hupata elimu ya njia bora za kuwalea Watoto
  2. Husaidia kupunguza vifo vya Watoto
  3. Hutoa hamasa kuhusu wazazi wote kushiriki malezi ya Watoto
  4. Husaidia Watoto kupata ushauri juu ya Maisha
Choose Answer


  1. Mojawapo ya umuhimu wa huduma za afya kwa wazee  ni;
  1. Kufanyiwa uchunguzi wa afya
  2. Kupata ushauri
  3. Kuepwa elimu maalum
  4. Yote hapo juu
Choose Answer


  1. Andika KWELI kwa sentensi ambazo ni sahihi na SI KWELI kwa sentensi ambazo si sahihi katika maswali yafuatayo:
  1. Vituo vyote vya huduma za afya hutoa huduma za tiba asili………..
  2. View Answer


  3. Chanjo ya homa ya ndui humkinga mtoto dhidi ya surua pia……….
  4. View Answer


  5. Watoto wanaozidiwa wakati wa matibabu hulazwa hapohapo kliniki………
  6. View Answer


  7. Ni rahisi watoto kupata maambukizi wakienda mara kwa mara kliniki………
  8. View Answer


  9. Wazazi wenye UKIMWI wanaweza kupata mtoto asiye na maambukizi kabisa……….
  10. View Answer


  11. Kliniki kwa mjamzito humhusu mjamzito na mumewe………..
  12. View Answer


  13. Katika huduma za afya kwa jamii huduma zote zinamhusu mama na mtoto………..
  14. View Answer


  15. Maziwa ya mwanzo ya mama hayafai kwa mtoto kwa kuwa ni machafu………..
  16. View Answer


  17. Wazazi huwajibika kuwapatia watoto chakula bora………….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256