MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

KUTEKETEZA DAWA

sehemu A

  1. Chagua jibu sahihi.
  1. vyombo vya kuhifadhia taka ni lazima viwe…………
  1. vikubwa
  2. vya kisasa
  3. vya kiwandani
  4. na mfuniko
Choose Answer


  1. taka zinazooza huweza kutumika kutengeneza……….
  1. vifaa vya kisayansi
  2. vifaa vya kuteka maji
  3. chakula cha wadudu
  4. mboji
Choose Answer


  1. utawi wa vimelea vya magonjwa unaweza kuchangiwa na………..
  1. taka ngumu tu
  2. udhibiti wa taka
  3. mlundikano wa taka
  4. uzalishaji wa mboji
Choose Answer


  1. wakati wa kufanya usafi wa mazingira glavu huvaliwa ili…………
  1. kupunguza uchafu yabisi
  2. kuondoa harufu mbaya
  3. kujikinga na maambukizi ya magonjwa
  4. kuongeza unadhifu kazini
Choose Answer


  1. kufagia maeneo ya wazi, kwenye nyasi na chini ya miti husaidia………
  1. kuongeza wadudu
  2. kuleta harufu mbaya
  3. kuongeza eneo ukubwa wake
  4. kuondoa athari za taka
Choose Answer


  1. Lipi sio madhara ya taka katika mazingira yetu?
  1. Kuleta magonjwa
  2. Kusabisha magonjwa
  3. Kupendezesha mazingira
  4. Kutoa harufu mbaya
Choose Answer


  1. Njia nzuri ya kutekeza taka za nyumbani kama vyakula ni
  1. Kulisha wanyama
  2. Kuziunguza
  3. Kuzifukia ardhini
  4. Kutumia kama mboji
Choose Answer


  1. Taka zipi zinachangia uchafuzi wa hewa?
  1. Taka za nyumbani
  2. Taka za sokoni
  3. Taka za aina ya plastic
  4. Taka za kinyesi cha wanyama
Choose Answer


  1. Hatua ya kwanza ya kuteketeza taka zitokazo mijini ni
  1. Kuzichoma
  2. Kutenganisha
  3. Kuziloweka
  4. Kulisha wanyama
Choose Answer


  1. Ni ugonjwa gani unasababishwa na utupaji ovyo wa taka?
  1. Malale
  2. Homa ya tumbo
  3. Kipindupindu
  4. malaria
Choose Answer


  1. Andika NDIYO kwa sentensi iliyo sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.
  1. zipo njia mbili tu za kudhibiti taka………..
  2. View Answer


  3. si rahisi kutenganisha taka ngumu………..
  4. View Answer


  5. aina ya taka huwekwa kwenye kundi linalohusika kutegemea lengo la mteketezaji………….
  6. View Answer


  7. wadudu waharibifu hukaa kwenye taka tu………….
  8. View Answer


  9. ukitaka kuteketeza taka vizuri ni lazima uziweke kwenye makundi…………
  10. View Answer


  11. harufu mbaya ni matokeo ya kuweka taka mahali maalumu………..
  12. View Answer


  13. taka za plastiki ni hatari zaidi kwa mazingira yetu………..
  14. View Answer


  15. si kila taka huzalisha nishati ya gesivunde………….
  16. View Answer


  17. kinyesi cha binadamu ni miongoni mwa vyanzo vya gesivunde………..
  18. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256