MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

INTANETI

Chagua Jibu Sahihi

  1. Tarakilishi mbili au Zaidi zikiunganishwa kwa lengo la kuwasiliana huunda?
  1. Modemu
  2. Runinga
  3. Mtandao
  4. Ruta
Choose Answer


  1. Zipo aina kuu ngapi za mtandao kwa kuzingatia eneo la kijiografia uliojifunza?
  1. Moja
  2. Mbili
  3. Tatu
  4. Tano
Choose Answer


  1. Mojawapo ya vitumi vifuatavyo hakiundi mtandao wa tarakilishi
  1. Ruta
  2. Swichi
  3. Betri
  4. Modemu
Choose Answer


  1. Kipi kati ya vifuatavyo ni kirefu cha MJA?
  1. Mtandao mpana
  2. Mtandao janibu
  3. Mtandao mkubwa
  4. Mtandao stahili
Choose Answer


  1. Faida mojawapo ya mtandao janibu ni
  1. Gharama nafuu
  2. Hutumika maeneo mbalimbali duniani
  3. Kuongeza mmomonyoko wa maadili
Choose Answer


  1. Mfano wa anwani za injini pekuzi mseto ni:
  1. Yandez
  2. Bing
  3. Google
  4. Firefox
Choose Answer


  1. Injini ambayo hutumia program maalum kutafuta taarifa kutoka mamilioni ya wavuti za tovuti mbalimbali huitwa?
  1. Injini saraka
  2. Injini pekuzi
  3. Injini pekuzi mtambaza
  4. Injini pekuzi mesto
Choose Answer


  1. Ipi sio faida ya matumizi ya baruapepe?
  1. Kupunguza gharama
  2. Rahisi kurejea
  3. Si rahisi kupotea
  4. Humfikia mlengwa haraka
Choose Answer


  1. Mojawapo ya athari za kutumia baruapepe ni?
  1. Wingi wa taarifa zinaingia kwenye kikashio bila kupenda
  2. Ni ngumu kutumia
  3. Ni ghali kutumia
  4. Si rahisi kurejelea
Choose Answer


  1. Utambulisho unaofafanua mamlaka au udhibiti ndani ya intaneti huitwa?
  1. Daraja
  2. Kikoa
  3. Data
  4. Kitumi.
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256