MTIHANI WA MWISHO WA MADA:
SAYANSI LA SITA
HEWA
SURA YA KWANZA
1. Chagua jibu sahihi katka maswali yafuatayo:
(i) Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-
- Oksijeni
- Kabonidayoksaidi
- Nitrogen
- Agoni.
Choose Answer
(ii) Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka?
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
- Nitrojeni
Choose Answer
(iii) Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji
- Nitrojeni
- Agoni
- Kabonidayoksaidi
Choose Answer
(iv) Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-
- Nitrojeni
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
Choose Answer
(v) Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?
- Kuzima moto
- Kuhifadhi chakula
- Kuunguza
- Kusanisi chakula
Choose Answer
(vi) Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme
- Agoni
- Helium
- Krypton
- Oksijeni
Choose Answer
(vii) Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?
- Kuwasha moto
- Kutengeneza Chakula
- Kuhifadhi chakula
- Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa
Choose Answer
(viii) Gesi hii utumia kuunda mbolea.
- Agoni
- Nitrojeni
- Kabonidayoksaidi
- Amonia
Choose Answer
(ix) Ipi sio sifa ya hewa
- Ina harufu
- Haina rangi
- Haionekani
- Inachukua nafasi
Choose Answer
(x) Ipi kati ya hizi sio sehemu ya hewa
- Oksijeni
- Hydrogeni
- Agoni
- Nitrojeni.
Choose Answer
2. Jaza jedwali lifuatalo kwa kuandika jibu sahihi.
Aina ya gesi | Asilimia katika hewa |
| 78 |
| _____________ |
| ____________ |
| 0.03 |
| ____________ |
View Answer
3. Andika kweli kama sentensi ni sahihi na si kweli kama sentensi sio sahihi.
- Mimea inategemea oksijeni kutoka kwa wanyama
View Answer
- Hewa haina harufu wala rangi
View Answer
- Kuna gesi nne tu zinazounda hewa
View Answer
- Gesi ya kabondayoksaidi hutumika kuzima moto
View Answer
- Mvuke unatoka baharini na kwenye mimea tu
View Answer
- Binadamu haitaji gesi ya kabonidayoksaidi
View Answer
- Gesi ambayo inatumia kuzima moto ipo kwenye hewa
View Answer
- Nitrojeni ni muhimu kwani utumia kutengeneza chakula cha wanga.
View Answer
- Gesi ya kabonidayoksaidi inachangia katika ongezeko la joto duniani.
View Answer
- Mimea ndio yenye uwezo wa kutengeneza chakula kwa kutumia nishati ya jua
View Answer
4. Eleza umuhimu wa hewa katika;
- Uhai wa viumbe
- Uunguzaji vitu
- Uchavushaji
View Answer
5. Taja gesi nne zinazounda hewa
View Answer
6. Andika matumizi mawili ya gesi zifuatazo
- Oksijeni
- Nioni
- Kabonidayoksaidi
- Nitrojeni
- Agoni.
View Answer
7. Unaweza kuonyesha kuwa mvuke upo?
View Answer
MTIHANI WA MWISHO WA MADA:
SURA YA KWANZA
1. Chagua jibu sahihi katka maswali yafuatayo:
(i) Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-
- Oksijeni
- Kabonidayoksaidi
- Nitrogen
- Agoni.
Choose Answer
(ii) Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka?
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
- Nitrojeni
Choose Answer
(iii) Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji
- Nitrojeni
- Agoni
- Kabonidayoksaidi
Choose Answer
(iv) Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-
- Nitrojeni
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
Choose Answer
(v) Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?
- Kuzima moto
- Kuhifadhi chakula
- Kuunguza
- Kusanisi chakula
Choose Answer
(vi) Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme
- Agoni
- Helium
- Krypton
- Oksijeni
Choose Answer
(vii) Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?
- Kuwasha moto
- Kutengeneza kula