MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

UDONGO

Chagua jibusahihi

  1. Udongo unaopitisha maji sana unaitwa?
  1. Udongo kichanga
  2. Udongo tifutifu
  3. Udongo changarawe
  4. Udongo wa mfinyanzi
Choose Answer


  1. Udongo unaofaa kwa kufinyanga ni
  1. Udongo tifutifu
  2. Udongo laini
  3. Udongo wa mfinyanzi
  4. Udongo wa kichanga
Choose Answer


  1. Wakulimia hupendelea udongo gani?
  1. Udongo tifutifu
  2. Udongo wa kichanga
  3. Udongo wa mfinyanzi
  4. Udongo changarawe
Choose Answer


  1. Upitishaji maji kwenye udongo unategemea
  1. Chanzo cha udongo
  2. Ukubwa wa chembechembe
  3. Rangi ya udongo
  4. Kiasi cha maji
Choose Answer


  1. Mojawapo ya shughuli zinazosababisha athari katika udongo ni
  1. Kupanda miti
  2. Mvua nyingi
  3. Uchomaji moto wa misitu
  4. Upepo
Choose Answer


  1. Ni maeneo gani ambapo udongo wa  kichanga unapatika sana sana?
  1. Kilimanjaro
  2. Mbeya
  3. Tanga
  4. Arusha
Choose Answer


  1. Njia nzuri ya kuzuia mmomonyoko wa udongo katika sehemu za milima ni
  1. Kilimo cha matuta
  2. Kilimo cha ngazi
  3. Kutumia mbolea
  4. Kupanda nyasi
Choose Answer


  1. Zifuatazo ni njia za kutunza udongo isipokuwa
  1. Kufuata kanuni sahihi za ufugaji
  2. Kupanda miti
  3. Kulima na trekta sehemu za milima
  4. Uhifadhi sahihi wa taka
Choose Answer


  1. Andika KWELI kwa sentensi sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi:
  1. Ni viongozi pekee walio na jukumu la kutunza udongo………
  2. View Answer


  3. Mbolea ya samadi ni bora kuliko mbolea za chumvichumvi………..
  4. View Answer


  5. Maji na upepo ni visababishi vikubwa vya mmomonyoko wa udongo………..
  6. View Answer


  7. Ni vizuri kuchoma mabaki ya mimea baada ya kuvuna………..
  8. View Answer


  9. Elimu na adhabu za kisheria zikitolewa zitasaidia kuzuia utupaji taka ovyo……….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256