MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

MFUMO WA UZAZI

Jibu maswali yafuatayo

Sehemu A

  1. Kuna njia kuu……….za uzazi wa mpango.
  1. Nne
  2. Tatu
  3. Nyingi
  4. Mbili
Choose Answer


  1. …………….huzalisha gameti ume.
  1. Ovari
  2. Korodani
  3. Tezidume
  4. Falopio
Choose Answer


  1. Njia salama na isiyo na athari ya uzazi wa mpango ni……………
  1. Kutofanya ngono
  2. Kufanya ngono
  3. Njia za kisasa za uzazi wa mpango
  4. Njia zote za uzazi wa mpango
Choose Answer


  1. …………..ni kasoro katika mfumo wa uzazi.
  1. Pacha
  2. Ugumba
  3. Vvu na ukimwi
  4. Magonjwa ya ngono
Choose Answer



5. Njia za uzazi wa mpango ambazo ni salama kwa afya ya mama ni.............

  1. kitanzi na sindano 
  2. njia ya asili
  3. sindano na vidonge 
  4. vidonge na kondomu
  5.  kondomu na sindano
Choose Answer



6. Uzazi wa mpango una umuhimu gani kwa familia?

  1. Huwezesha familia kumiliki nyumba
  2. Huongeza idadi ya watoto
  3. Huwezesha familia kumudu safari za pamoja
  4. Huwafanya wanafamilia kuwa na furaha
  5. Huwezesha familia kupata chakula cha kutosha.
Choose Answer


7. Magonjwa ya zinaa huambukizwa kwa njia ya:

  1. kugusana 
  2. kupeana damu
  3. kucheza pamoja 
  4. kuchangia vikombe
  5. kujamiiana
Choose Answer


8. Sehemu zifuatazo hufanya kazi sawa ya kuhifadhi gamete za uzazi kwa binadamu:

  1. mirija ya falopio na mirija ya manii
  2. uume na uke
  3. korodani na uterasi
  4. ovari na uume
  5. ovari na korodani
Choose Answer



9. Ipi ni njia bora ya asili ya uzazi wa mpango?

  1. Kutumia kondomu wakati wa kujamiiana
  2. Kutumia njia ya kitanzi
  3. Kutumia sindano
  4. Kutumia vidonge vya uzazi wa majira
  5. Kutojamiiana katika kipindi cha hatari
Choose Answer


10. Baada ya utungisho, kitoto chura huitwa:

  1. lava 
  2. buu 
  3. tunutu 
  4. tedipoli
  5. yai
Choose Answer


  1. Andika kweli kwa sentensi sahihi na si kweli kwa sentensi isiyo sahihi
  1. Ugumba ni tatizo la mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume……………..
  2. View Answer


  3. Pacha wote wanafanana……………….
  4. View Answer


  5. Kutofanya ngono ni tabia njema………….
  6. View Answer


  7. Uzazi wa mpango unawafanya watoto wawe na afya njema………….
  8. View Answer


  9. Kufanya ngono husababisha mimba za utotoni……………
  10. View Answer


  11. Mtoto huanza kucheza tumboni akifikisha miezi saba…………..
  12. View Answer


  13. Gameti ume imebeba chembeuzi x na y……………..
  14. View Answer


  15. Mtoto wa kike hutungwa chembeuzi x na y zinapoungana………….
  16. View Answer


  17. Kiinitete hukua na kuwa zaigoti……………
  18. View Answer


  19. Kwa kawaida mwanamke hujifungua mtoto mmoja kwa kila ujauzito………..
  20. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256