MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA SITA

MFUMO WA DAMU

Sehemu A

Jibu maswali yafuatayo

  1. Damu huweza kupungua kutokana na nini?
  1. Kupungua kwa seli nyeupe, vitamini A na madini chuma
  2. Kupungua kwa vitamini B, protini na plazima
  3. Maji kuongezeka mwilini, kupungua madini ya chuma na protini
  4. Kupungua kwa madini ya ayani na vitamini mwilini
Choose Answer


  1. Ni ipi kati ya sehemu zifuatazo imeunda sehemu kubwa ya damu?
  1. Chembe nyeupe
  2. Chumvichumvi
  3. Chembe nyekundu
  4. Plazima
Choose Answer


  1. Tawi dogo kabisa la ateri huitwa
  1. Kapilari
  2. Bronchioli
  3. Vena
  4. Vali
Choose Answer


  1. Himoglobini ni muhimu sana katika kutengeneza
  1. Seli hai nyeupe za damu
  2. Seli hai nyekundu za damu
  3. Plazima ya damu
  4. Seli zinazogandisha damu
Choose Answer


  1. Mfumo wa damu una sehemu kuu tatu ambazo ni
  1. Vena, ateri, na kapilari
  2. Moyo, aota na vena
  3. Damu, mishipa ya damu na moyo
  4. Mishipa ya damu, moyo na vali
Choose Answer


6. Damu huchukua oksijeni na kutoa kabondayoksaidi kupitia:

  1. Viribaehewa 
  2. Kuta za mapafu
  3. Koromeo
  4. Kapilari
  5. Pua
Choose Answer



7. Kazi ya chembe nyekundu za damu katika mwili wa binadamu ni

  1. kugandisha damu
  2. kupambana na maradhi
  3. kushambulia bakteria 
  4. Kusafirisha virutubisho
  5. Kusafirisha oksijeni
Choose Answer



8. Ateri kuu imegawanyika katika mishipa midogo midogo iitwayo:

  1.  venekava 
  2. bronchioli 
  3. valvu 
  4. kapilari 
  5. vena.
Choose Answer


9. Hemoglobini ni kampaundi inayopatikana ndani ya damu katika:

  1.  seli hai nyeupe 
  2. seli hai nyekundu
  3. ute wa damu 
  4. uroto wa njano katika mifupa
  5. seli zinazogandisha damu.
Choose Answer


10. Upungufu wa damu husababishwa na...

  1. kupungua kwa sell nyekundu, madini ya chuma na vitamini
  2. kupungua kwa vitamini, protini na plazma
  3. kuongezeka kwa maji mwilini, kupungua kwa madini ya chuma na protini
  4. kuongezeka kwa utegili, madini ya chuma na vitamini
  5. kupungua kwa madini ya chuma, vitamini na protini katika chakula
Choose Answer


  1. Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.
  1. Vena na ateri ni aina mbili za kapilari…………..
  2. View Answer


  3. Damu ya panzi hufanya kazi sawa na damu ya binadamu………….
  4. View Answer


  5. Vali hufanya kazi ya kuzuia damu isirudi ilipotoka………….
  6. View Answer


  7. Wanyama wote huwa na moyo wenye vyumba vinne……….
  8. View Answer


  9. Kufanya mazoezi kukiwa na baridi hupunguza uzewekano wa kupata shinikizo la damu………
  10. View Answer


  11. Mionzi mikali ya eksirei inaweza kusababisha saratani ya damu…………
View Answer


  1. Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.
  1. Vena na ateri ni aina mbili za kapilari…………..
  2. View Answer


  3. Damu ya panzi hufanya kazi sawa na damu ya binadamu………….
  4. View Answer


  5. Vali hufanya kazi ya kuzuia damu isirudi ilipotoka………….
  6. View Answer


  7. Wanyama wote huwa na moyo wenye vyumba vinne……….
  8. View Answer


  9. Kufanya mazoezi kukiwa na baridi hupunguza uzewekano wa kupata shinikizo la damu………
  10. View Answer


  11. Mionzi mikali ya eksirei inaweza kusababisha saratani ya damu…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256