MTIHANI WA MWISHO WA MADA:

SAYANSI LA SITA

HEWA

SURA YA KWANZA

1. Chagua jibu sahihi katka maswali yafuatayo:

(i) Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-

  1. Oksijeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Nitrogen
  4. Agoni. 
Choose Answer

(ii) Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka?

  1. Kabonidayoksaidi
  2. Agoni
  3. Oksijeni
  4. Nitrojeni
Choose Answer

(iii) Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji

  1. Nitrojeni
  2. Agoni
  3. Kabonidayoksaidi
Choose Answer

(iv) Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-

  1. Nitrojeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Agoni
  4. Oksijeni
Choose Answer

(v) Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?

  1. Kuzima moto
  2. Kuhifadhi chakula
  3. Kuunguza
  4. Kusanisi chakula
Choose Answer

(vi) Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme

  1. Agoni
  2. Helium
  3. Krypton
  4. Oksijeni
Choose Answer

(vii) Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?

  1. Kuwasha moto
  2. Kutengeneza Chakula
  3. Kuhifadhi chakula
  4. Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa
Choose Answer

(viii) Gesi hii utumia kuunda mbolea.

  1. Agoni
  2. Nitrojeni
  3. Kabonidayoksaidi
  4. Amonia
Choose Answer

(ix) Ipi sio sifa ya hewa

  1. Ina harufu
  2. Haina rangi
  3. Haionekani
  4. Inachukua nafasi
Choose Answer

(x) Ipi kati ya hizi sio sehemu ya hewa

  1. Oksijeni
  2. Hydrogeni
  3. Agoni
  4. Nitrojeni.
Choose Answer

2. Jaza jedwali lifuatalo kwa kuandika jibu sahihi.

Aina ya gesi

Asilimia katika hewa

  1. ___________

78

  1. Oksijeni

_____________

  1. Agoni

____________

  1. ______________

0.03

  1. Gesi nyingine

____________

View Answer

3. Andika kweli kama sentensi ni sahihi na si kweli kama sentensi sio sahihi.

  1. Mimea inategemea oksijeni kutoka kwa wanyama
  2. View Answer

  3. Hewa haina harufu wala rangi
  4. View Answer

  5. Kuna gesi nne tu zinazounda hewa
  6. View Answer

  7. Gesi ya kabondayoksaidi hutumika kuzima moto
  8. View Answer

  9. Mvuke unatoka baharini na kwenye mimea tu
  10. View Answer

  11. Binadamu haitaji gesi ya kabonidayoksaidi
  12. View Answer

  13. Gesi ambayo inatumia kuzima moto ipo kwenye hewa
  14. View Answer

  15. Nitrojeni ni muhimu kwani utumia kutengeneza chakula cha wanga.
  16. View Answer

  17. Gesi ya kabonidayoksaidi inachangia katika ongezeko la joto duniani.
  18. View Answer

  19. Mimea ndio yenye uwezo wa kutengeneza chakula kwa kutumia nishati ya jua
View Answer

4. Eleza umuhimu wa hewa katika;

  1. Uhai wa viumbe
  2. Uunguzaji vitu
  3. Uchavushaji
View Answer

5. Taja gesi nne zinazounda hewa

View Answer

6. Andika matumizi mawili ya gesi zifuatazo

  1. Oksijeni
  2. Nioni
  3. Kabonidayoksaidi
  4. Nitrojeni
  5. Agoni.
View Answer

7. Unaweza kuonyesha kuwa mvuke upo?

View Answer

MTIHANI WA MWISHO WA MADA:

SURA YA KWANZA

1. Chagua jibu sahihi katka maswali yafuatayo:

(i) Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-

  1. Oksijeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Nitrogen
  4. Agoni.
Choose Answer

(ii) Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka?

  1. Kabonidayoksaidi
  2. Agoni
  3. Oksijeni
  4. Nitrojeni
Choose Answer

(iii) Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji

  1. Nitrojeni
  2. Agoni
  3. Kabonidayoksaidi
Choose Answer

(iv) Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-

  1. Nitrojeni
  2. Kabonidayoksaidi
  3. Agoni
  4. Oksijeni
Choose Answer

(v) Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?

  1. Kuzima moto
  2. Kuhifadhi chakula
  3. Kuunguza
  4. Kusanisi chakula
Choose Answer

(vi) Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme

  1. Agoni
  2. Helium
  3. Krypton
  4. Oksijeni
Choose Answer

(vii) Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?

  1. Kuwasha moto
  2. Kutengeneza kula
  3. Kuhifadhi chakula
  4. Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa
Choose Answer

(viii) Gesi hii utumia kuunda mbolea.

  1. Agoni
  2. Nitrojeni
  3. Kabonidayoksaidi
  4. Amonia
Choose Answer

(ix) Ipi sio sifa ya hewa

  1. Ina harufu
  2. Haina rangi
  3. Haionekani
  4. Inachukua nafasi
Choose Answer

(x) Ipi kati ya hizi sio sehemu ya hewa

  1. Oksijeni
  2. Hydrogeni
  3. Agoni
  4. Nitrojeni.
Choose Answer

3. Andika kweli kama sentensi ni sahihi na si kweli kama sentensi sio sahihi.

  1. Mimea inategemea oksijeni kutoka kwa wanyama
  2. View Answer

  3. Hewa haina harufu wala rangi
  4. View Answer

  5. Kuna gesi nne tu zinazounda hewa
  6. View Answer

  7. Gesi ya kabondayoksaidi hutumika kuzima moto
  8. View Answer

  9. Mvuke unatoka baharini na kwenye mimea tu
  10. View Answer

  11. Binadamu haitaji gesi ya kabonidayoksaidi
  12. View Answer

  13.   Gesi ambayo inatumia kuzima moto ipo kwenye hewa
  14. View Answer

  15.   Nitrojeni ni muhimu kwani utumia kutengeneza chakula cha wanga.
  16. View Answer

  17. Gesi ya kabonidayoksaidi inachangia katika ongezeko la joto duniani.
  18. View Answer

  19. Mimea ndio yenye uwezo wa kutengeneza chakula kwa kutumia nishati ya jua
View Answer

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256