MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUCHANGANUA MAMBO KIYAKINIFU

MADA YA KUMI NA MOJA

Chagua jibu sahihi.

  1. Ipi kati ya zifuatazo si hatua za kufanya uamuzi sahihi?
  1. Kufahamu tatizo
  2. Kutengeneza mikakati
  3. Kutathmini
  4. Kutokubaliana na changamoto
Choose Answer


  1. Mijadala kwa vikundi ni njia ya majadiliano yenye faida gani kwa mwanafunzi?
  1. Humwezesha kuuliza maswali
  2. Humfanya kuwa huru kujadili
  3. Humsaidia kupoteza muda
  4. Hujifunza namna ya kujenga hoja bora
Choose Answer


  1. Kufanya kazi kwa vitendo humsaidia mwanafunzi kutumia milango gani ya fahamu?
  1. Pua na mdomo
  2. Milango yote ya fahamu
  3. Macho na Ngozi
  4. Ulimi na pua
Choose Answer


  1. Mwanafunzi hutegemea nini anapowajibika na kujituma katika shughuli zake?
  1. Hisia zake
  2. Hisia za watu wengine
  3. Hisia za wazazi
  4. Hisia za walimu
Choose Answer


  1. Ipi kati ya mbinu zifuatazo hazihamasishi kujenga tabia ya kujifunza kiyakinifu miongoni mwa wanafunzi na jamii?
  1. Kufanya kazi kwa vitendo
  2. Mijadala kwa vikundi
  3. Kisamafunzo
  4. Kisa mkasa
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Kujifunza kiyakinifu ni bora Zaidi kuliko kujifunza kwa kukariri………….
  2. View Answer


  3. Kujifunza kiuwajibikaji ni mfumo usiomwandaa mwanafunzi kujitambua…………
  4. View Answer


  5. Moja ya faida ya kujifunza kiyakinifu ni kukuza ubunifu………..
  6. View Answer


  7. Kutafiti jambo kabla ya kulifanyia uamuzi ni kupoteza muda…………
  8. View Answer


  9. Moja ya stadi za kujenga wakati wa kujifunza kiyakinifu ni kutafakari jambo…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256