MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUSIMAMIA HAKI ZA KIBINADAMU

MADA YA KUMI NA TATU

Chagua jibu sahihi.

  1. Ipi kati ya yafuatayo si majukumu ya serikali katika kusimamia haki za binadamu?
  1. Kutoa huduma za kijamii
  2. Kuzuia haki isitendeke kwa wahalifu
  3. Kulinda amani na utulivu
  4. Kulinda rasilimali za nchi
Choose Answer


  1. Kipi kati ya vyombo vifuatavyo hufanya kazi ya kuhakikisha haki inatolewa kwa wananchi kwa kutoa huduma za kijamii?
  1. Mahakama
  2. Serikali
  3. Bunge
  4. Jeshi
Choose Answer


  1. Ni kwa namna gani mhimili wa Mahakama hutumia makongamano na mihadhara katika kusimamia haki za binadamu nchini?
  1. Hutoa elimu kwa wananchi ili kupata haki zao bila kubughudhiwa au kuonewa kwa namna yoyote
  2. Hutoa elimu kwa wananchi juu ya namna ya kuacha watumishi wa mahakama kufanya uamuzi wa utashi wao tu
  3. Hutoa elimu kwa wananchi juu ya kutokukemea vitendo vya rushwa na ufisadi
  4. Hutoa elimu juu ya namna ya watu kudai haki zao kwa woga
Choose Answer


  1. Ni jukumu la nani kuimarisha haki za binadamu, ulinzi na usalama nchini?
  1. Serikali
  2. Vyombo vya dola
  3. Mihimili ya dola
  4. Raia wote
Choose Answer


  1. Serikali inaposimamia utoaji wa huduma stahiki kwa wananchi hutekeleza jukumu gani?
  1. Haki za raia wake
  2. Haki za binadamu
  3. Mali za nchi
  4. Usalama wa nchi
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Kazi kuu ya bunge ni kutekeleza sheria………
  2. View Answer


  3. Mihimili ya dola inatambua kila mtu ni sawa mbele ya sheria………..
  4. View Answer


  5. Mahakama ni mhimili wa dola unaofanya kazi ya kutunga sheria……….
  6. View Answer


  7. Mihimili ni vyombo maalumu vyenye mamlaka ya kutawala, kuratibu na kufanya uamuzi……….
  8. View Answer


  9. Ukweli na uwazi husaidia matumizi sahihi ya vyombo vya dola……….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256