MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUJENGA TABIA YA UVUMILIVU

MADA YA TISA

Chagua jibu sahihi.

  1. Lipi kati ya majibu yafuatayo si faida ya uvumilivu?
  1. Hujenga busara
  2. Hujenga hofu
  3. Huchochea utulivu
  4. Husaidia kufanya uamuzi sahihi
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo si faida za kubuni njia mbadala katika kukabiliana na tatizo?
  1. Husaidia kutatua changamoto iliyoshindikana
  2. Husaidia kushughulikia tatizo lililokosa ufumbuzi
  3. Husaidia kupata utatuzi wa tatizo jipya
  4. Husaidia kupata muda wa ziada wa kujifurahisha na kutafakari
Choose Answer


  1. Ipi kati ya njia zifuatazo ni muhimu katika kutatua tatizo pindi njia ya awali inaposhindikana?
  1. Njia ya majadiliano
  2. Njia ya usuluhishi
  3. Njia mbadala
  4. Njia ya majibizano
Choose Answer


  1. Kwa nini mihemko humfanya mtu ashindwe kufanya uamuzisahihi?
  1. Hutanguliza faida mbele
  2. Hana muda wa kufanya tathmini ya athari za uamuzi wake
  3. Huongozwa na mihemko kutenda jambo
  4. Hutafakari sana na kutenda jambo baadaye
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo si faida za kutawala hisia na mihemko katika Maisha?
  1. Hulinda afya ya mwili na akili
  2. Huepusha madhara yanayoweza kujitokeza
  3. Husaidia kufikia uamuzi sahihi
  4. Hujenga wivu na chuki kwa aliyekuudhi
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Uvumilivu ni hali ya kustahimili shida, taabu na matatizo………..
  2. View Answer


  3. Kujiamini na kuwasaidia wanafunzi wenzako kukabiliana na matatizo ni mtazamo hasi kwa walimu………..
View Answer


  • Kutawala hisia na mihemko ni njia mojawapo ya kuepuka vishawishi……………
  • View Answer


    1. Kufuata sheria na taratibu ni njia mojawapo ya kuonesha uvumilivu…………
    2. View Answer


    3. Njia mbadala ni namna ya kufanya jambo baada ya kufanikiwa kwa njia ya awali………..
    View Answer


    Download Learning
    Hub App

    For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256