MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUJENGA UHUSIANO MZURI NA WATU WENGINE

MADA YA TANO

Chagua jibu sahihi.

  1. Ni njia ipi kati ya zifuatazo hujenga umoja na mshikamano katika jamii?
  1. Kuwa mvivu na kujenga chuki kwa wanaokuchukia
  2. Kuchagua marafiki wenye akili timamu na wenye fedha tu
  3. Kuwapenda Zaidi ndugu zako na kuwapendelea kuliko watu usiowafahamu
  4. Kuheshimu kila mtu bila kujali rika lake, itikadi yake au dini yake
Choose Answer


  1. Kuheshimu jamii, kuwajali wengine, kuwa mkweli na kuwajibika kwa jamii vinasaidiaje watu?
  1. Hujenga kujiamini na uthubutu
  2. Hujenga uhusiano mzuri katika jamii
  3. Hujenga uadui baina ya watu katika jamii
  4. Hujenga hofu na kuogopa wanaokuzidi umri
Choose Answer


  1. Ni lipi jukumu lako katika kudumisha umoja miongoni mwa wanafunzi wenzako?
  1. Kutoa kauli mbalimbali au kushiriki shughuli zinazodumisha umoja kama vile kusoma Pamoja
  2. Kuongoza wanafunzi wengine kuandamana na kudai haki pale wanapokosa uji au chai shuleni
  3. Kutetea wavivu na wazembe katika shughuli za darasani
  4. Kujitenga na wanafunzi wenzako ili uweze kufanya vizuri darasani
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Uhusiano mzuri miongoni mwa jamii hujenga ustawi na maendeleo ya watu……………
  2. View Answer


  3. Chuki, ubinafsi na roho mbaya hujenga umoja na mshikamano katika jamii unamoishi………..
  4. View Answer


  5. Uvumilivu na ustahimilivu wa matatizo yako na ya watu wengine ni njia ya kuwa na umoja na amani katika jamii……..
  6. View Answer


  7. Wanafunzi hawana mchango wowote katika kujenga jamii bora yenye maelewano kwa sababu wao bado ni wadogo……….
  8. View Answer


  9. Maandamano miongoni mwa wanafunzi ni njia bora ya kudumisha uhusiano mwema katika jamii………….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256