MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUJENGA URAFIKI NA MATAIFA MENGINE

MADA YA KUMI NA NNE

Chagua jibu sahihi.

  1. Ipi ni kazi kubwa ya mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje?
  1. Kukuza ushirikiano wa kidiplomasia, uchumi, kijamii, kisiasa, kiutamaduni na kiteknolojia na mataifa mengine
  2. Kufanya biashara za kimataifa
  3. Kuandaa ziara za viongozi nje ya nchi
  4. Kuunda umoja wa mataifa ya kigeni
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo ni njia za haraka za kutangaza fursa zilizopo Tanzania katika nchi za kigeni?
  1. Tovuti, mitandao ya kijamii, majarida, na vipeperushi
  2. Simu za mkononi
  3. Mikutano ya kisiasa
  4. Redio
Choose Answer


  1. Ipi kati ya njia zifuatazo hukuza uhusiano Zaidi miongoni mwa mataifa?
  1. Usafirishaji wa bidhaa
  2. Uwekezaji
  3. Utalii
  4. Utandawazi
Choose Answer


  1. Nani mwenye mamlaka ya kufanya uteuzi wa mabalozi wa kuiwakilisha Tanzania nchi za nje?
  1. Baraza la mawaziri
  2. Wabunge wa bunge la jamuhuri ya Tanzania
  3. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  4. Waziri mkuu
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “sikweli” kwa sentensi isiyo sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi.

  1. Tanzania ni nchi isiyohitaji kuwa na mahusiano na nchi nyingine……….
  2. View Answer


  3. Serikali inapojenga mazingira mazuri ya uwekezaji wa ndani na nje huzuia kukua kwa uchumi………..
  4. View Answer


  5. Sayansi na teknolojia si nyenzo muhimu katika kutatua changamoto za uhusiano kati ya Tanzania na nchi nyingine…………
  6. View Answer


  7. Kazi kuu ya balozi ni kuwakilisha nchi mwenyeji…………
  8. View Answer


  9. Kutangaza vivutio vya utalii na uwekezaji kwa mataifa mengine ni jukumu la kila Mtanzania…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256