MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

JINSI YA KUFIKIA MALENGO

MADA YA KUMI

Chagua jibu sahihi.

  1. Lipi kati ya mambo yafuatayo si muhimu katika kujiwekea malengo katika Maisha?
  1. Ujuzi wa kutathmini
  2. Kuandaa rasilimali
  3. Kujua kiingereza
  4. Ari ya kufikia lengo
Choose Answer


  1. Utekelezaji wa mipango katika Maisha kwa muda mwafaka kulingana na rasilimali zilizopo una faida gani?
  1. Kuongeza msukumo chanya wa kutekeleza mipango
  2. Kupiga vita utekelezaji wa mipango
  3. Kuongeza msukumo hasi wa kutekeleza mipango
  4. Kushindwa kutekeleza mipango
Choose Answer


  1. Ipi ni hatua mojawapo muhimu katika kutatua changamoto wakati wa kutekeleza mipango?
  1. Kubaini kiini na ukubwa wa changamoto
  2. Kuwekeza Zaidi katika utekelezaji wa mipango
  3. Kupata ushauri wa namna ya kutekeleza mipango
  4. Kuvumilia changamoto katika utekelezaji wa mipango
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo si njia za kuelimisha jamii juu ya kutekeleza mipango?
  1. Igizodhima
  2. Hotuba na midahalo
  3. Mashairi na ngojera
  4. Historia na hotuba
Choose Answer


  1. Njia ipi kati ya zifuatazo Ni njia za kuelimisha jamii juu ya kutekeleza mipango?
  1. Kujitenga na watu
  2. Kujitenga na watu wasiokujua
  3. Kushirikiana na watu wengine
  4. Kujitenga na watu wasiokupenda
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahii na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Malengo ya muda mrefu ni malengo yanayokusudiwa kufikiwa kwa muda mrefu………
  2. View Answer


  3. Utekelezaji wa mipango ya Maisha kwa muda mwafaka kulingana na rasilimali zilizopo husaidia kuleta ufisadi katika jamii…………
  4. View Answer


  5. Kazimradi ni njia mojawapo ya uelimishwaji wa jamii kujiwekea malengo katika Maisha…………..
  6. View Answer


  7. Malengo ya muda mfupi ni sehemu ya malengo ya muda mrefu………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256