MTIHANI WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUWAPENDA WENZETU KATIKA JAMII

MADA YA KWANZA

Chagua jibu sahihi.

  1. Huduma za kisheria kwa wahitaji huweza kupatikana sehemu gani?
  1. Asasi binafsi za utetezi wa haki za binadamu, mahakamani na magereza
  2. Kwa mwanasheria, mahakamani, na asasi binafsi za utetezi wa haki za binadamu
  3. Shuleni, vituo vya polisi na vituo vya afya
  4. Mahakamani, ofisi za vijiji na magereza
Choose Answer


  1. Nini umuhimu wa kuwahudumia na kuwafariji wahitaji katika jamii?
  1. Kujenga upendo na kuthamini utu
  2. Kudumisha udugu na kujitangaza
  3. Kulinda haki za binadamu na haki za kisiasa
  4. Kukuza utegemezi kwa wahitaji
Choose Answer


  1. Ni njia zipi zinazoweza kutumika kwa haraka kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kutoa misaada kwa wahitaji?
  1. Televisheni, redio na mitandao ya kijamii
  2. Semina, mikutano ya hadhara na makongamano
  3. Mikutano ya hadhara, semina na vipeperushi
  4. Redio, mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Watu waliokumbwa na majanga ya moto na mafuriko ni miongoni mwa wahitaji………….
  2. View Answer


  3. Televisheni huchangia wahitaji wasipate msaada kwa haraka…………..
  4. View Answer


  5. Vyakula, malazi, huduma za afya na Faraja ni baadhi ya mahitaji kwa wahitaji…………..
  6. View Answer


  7. Msaada wa kisheria ni muhimu kwa wahitaji katika jamii………..
  8. View Answer


  9. Nyimbo, redio na mitandao ya kijamii husaidia kufikisha ujumbe kwa jamii ili kutoa msaada kwa watu wenye uhitaji……………
  10. View Answer


  11. Faraja ni kitendo cha kuwaliwaza watu au mtu aliyepatwa na matatizo………….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256